Hivi Tanzania raia wanaruhusiwa kubeba Taser?

Hivi Tanzania raia wanaruhusiwa kubeba Taser?

willian2001

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
10
Reaction score
8
Habari,
Ningependa kujua kama bongo mtu anaruhusiwa kubeba Taser ya personal protection. Na je, mtu anahitaji kibali cha kuwa nayo?[emoji848]

taser.jpg
 
Ni kama kifaa anachotumia mtu kama silaha ya kujilinda.. inatumia umeme kumjeruhi adui
 
mimi ninayo miaka mingi sijawahi kubughudhiwa na askari wala nini..niliiotea mtumbani kwenye koti muuza mitumba aliikuta akawa hajui ni nini,nikamlipa elfu 20..
 
Aaahghh " mbona watu wanatumia long ago " ...niliwahi shuhudia ugomvi kinondoni manyanya " kuna wauza unga fulani walikuwa wanapigana huku wanatumia " hiyo kitu
 
Ngoja wavulana wabishane kuhusu visilaha vya kike kisha wakimalize wanaume tuje tujadilia bastola gani nzuri na potable.
 
Back
Top Bottom