Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,567
- 2,928
Wapendwa, Tanroads sasa warekebeshe hili, Muda mrefu watu wapeiga kelele lakini wapi!! ukiwa unatokea mikoani barabra ya Morogoro Ukishapita kibanda cha mjaa kituo kinachfuata kimeandikwa Temboni. Lakini hapo sio Temboni bali nui Kwa Msuguri! Hivyo watu wengi sana hushukia kwa msuguri wakidhanui ni Temboni. Temboni haina kibao na ni kituo kinachofuata baada ya kwa msuguri kabla ukitokea morogoro. hasa wakati wa usiku ndio shida. Hivi Jiji ama Tanroads hawalioni?🙁