Umekua ni utaratibu wa kawaida kabisa hapa nchini kwa watu wasiokua na mamlaka yoyote yale ya kiserikali kuagiza au kutoa oda kwa serikali kufanya jambo flani kwa mtazamo wao waonavyo, mfano...
Hatujifunzi, hatujifunzi na hizi ajali na maafa makubwa? Sisi ni kenge? Hadi tuone damu masikioni ndio tusikie maumivu?
Kama kweli serikali hii ingelikuwa sikivu, ingelisikiliza Hoja za mbunge wa...
Ukiangalia majina ya vijana wetu walioomba mkopo zaidi ya elfu 25 ya walioomba wameonekana kuna kasoro katika kukamilisha fomu za bodi ya mikopo.
na katika katika hao asilimia kubwa takribani...
Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza...
Katika maisha ya kutafuta pesa kuna vitu vingi Sana hasaa tamaaa.. Vijana wengi wanabet siku hizi na wengne wanacheza michezo Kama Biko lakini Asilimia kubwa huishiaa kuliwaa na wengne hata...
Ikiwa nisiku ya 4 ya maomborezo ya kivuko cha Mv nyerere leo jilaniyangu anaunusa mlango wa jera baada ya kumwazibu kijana wake wa kwanza kwakosa la kukataa kwenda.shule.na utukutu alio nao paka...
Hapo vip!!
Jana nilifanya muamala fulani wa kutoa pesa zangu kupitia PESAFASTA katika Bank ya NMB lakini baada Ya pesa kutoka kwenye account yangu Ya bank then nikapata sms Ya confirmation yenye...
Hawa wavuvi walio fanya kwa moyo mmoja na kujitoa kuokoa uhai wa wananchi 40 katika ajali ya MV.NYERERE sasahivi wangekua wanaenda kupata ajira kwenye majeshi ya wanamaji au uokozi na wangepitia...
Nilikuwa Dukani Asubuhi hii kuna mama alikuwa anatoka kanisani huku akiimba Gosper
Mara tukasikia mtu anaongea kwenye Radio ya muuzaji kuwa "Tuna Raisi mzuri sana".
Yule mama baada ya kusikia tu...
Wakati tukiendelea kuomboleza vifo vya Watanzania wenzetu waliotutoka, ni muda pia wetu sisi wananchi wa Kanda ya Ziwa, ku-revise way back kuangalia namna ambavyo tumekuwa tukisafiri katika Ziwa...
Habari wakuu.
Kuna hii taasisi ya wakaguzi wa ndani, je ina majukumu gani tofauti na bodi ya wahasibu Tanzania.
Je hii taaisis ya wakaguzi wa ndani iko kisheria?
Naomba kufahamishwa.
Ukiona umeamua kuludisha mpira kwa kipa ukiwa ndani ya dsm basi ujue huko Uendako unabidi ukaze buti na kamba .
Maana dsm ndo jiji pekee Tz ambalo mtu mwenye kipato kikubwa na kidogo wote...
MAREKEBISHO YA TAARIFA KWENYE MAOMBI YA MIKOPO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na umma kwa ujumla kwamba...
Mbunge wa Ukerewe (Chadema), Joseph Mkundi ameiomba Serikali kutafuta namna wakazi wa Kisiwa cha Ukara watakavyoendelea kupata huduma ya usafiri wa kuwaunganisha na wenzao wa Kisiwa Kikuu cha...
MTOTO WA NDUGU YANGU WAPENDWA MWENYE KUMWONA ATOE TAARIFA AS ATTACHED
MBARIKIWE
Dar es Salaam jana kupitia vyombo mbalimbali vya habari iliripotiwa juu ya taarifa za kupotea kwa mtoto mwenye umri...
Hii inathibitisha wote wanaojiita manabii na mitune ni wachumia tumbo tu.
Hata Prophet Bushiri aliyekuwepo ncini hakuweza kutabiri. Wote walikuwa gizani.
Nadhani wengi mtakubaliana na mimi...
Mafuriko nchini Tunisia Adi sasa watu watatu wamefariki kutokana na mafuriko yaliyotokea kwenye nchi hiyo na hapa ni mashiriki mwa nchi hiyo
Britannica