Baada ya kusikia tu Akatukana kwa kilugha.

Baada ya kusikia tu Akatukana kwa kilugha.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Nilikuwa Dukani Asubuhi hii kuna mama alikuwa anatoka kanisani huku akiimba Gosper

Mara tukasikia mtu anaongea kwenye Radio ya muuzaji kuwa "Tuna Raisi mzuri sana".

Yule mama baada ya kusikia tu hayo maneno akatukana kwa kilugha na kusema " siku yangu imeharibika tayari"

Mteja wa pembeni yangu baada ya kumsikia yule mama akitukana akasema siku hizi kusikia TBC taifa inaweza kukufanya ukavunja Radio.

Kuna kaukweli hapa eti?
 

Attachments

  • Screenshot_2018-09-24-08-39-05.jpeg
    Screenshot_2018-09-24-08-39-05.jpeg
    53.4 KB · Views: 24
Nataka kujua uhusiano wa rais kuwa mzuri na uhusiano wa huyo mama na redio TBC
 
Back
Top Bottom