Ingekua Nchi za Wenzetu

Ingekua Nchi za Wenzetu

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
2,237
Reaction score
2,900
Hawa wavuvi walio fanya kwa moyo mmoja na kujitoa kuokoa uhai wa wananchi 40 katika ajali ya MV.NYERERE sasahivi wangekua wanaenda kupata ajira kwenye majeshi ya wanamaji au uokozi na wangepitia kozi mbalimbali waweze kuongeza ujuzi katika haya maswala,mfano lile swala la kijana wa kiafrica kumwokoa mtoto katika ghorofa uko ufaransa,rais wa nchi alijitahidi kumshawishi na kumpa uraia na akajiunga kwenye jeshi la uokozi kwa kumwokoa raia mmoja ila huku kwetu wameweza kuokoa watu takribani 40 siwezi kushangaa hata wasipo pewa medali yeyote hawa mashujaa hata wasipo lipiwa tiketi ya ndege kuja ikulu kuonana na mh hata kuwapa moyo tu au yeye akienda kanda ya ziwa kuomba akutane nae ili aweze kuonyesha kutambua mchango wao kwa taifa
Mwisho twendelee kuwaombea hawa ndugu zetu waweze kupumzika salama na mwenyezi awaweke mahali palipo salama pia.AMEEN
 
Kutoa msaada sio lazima ujitangaze.. Hafu serikali ni mimi na wewe anza kuwapa mshahara wako wamwezi huu then sisi twaja sio kupiga kelele tu humu
 
Leo nilikuwa nawaza hivyo lakini kwa Tanzania ni ngumu labda

Polisi wetu wapo tayari kupiga risasi wapinzani lakini sio kusaidia watanzania
 
Huko unakosema kuokoa mwenzako ni jukumu lako kujitolea huduma za kijani, jukumu hill unaanza kufundishwa shule ya msingi na halina malipo.
 
Kuwapa motisha ni kujitangaza?kuna sehemu nimesema uwape mshahara wako wewe?serikali labda ni ww me kiuhalisia ni mwananchi wa kawaida kbsaa maana sijawahi hata kuulizwa au kusikilizwa kuhusu vipao mbele
 
Leo nilikuwa nawaza hivyo lakini kwa Tanzania ni ngumu labda

Polisi wetu wapo tayari kupiga risasi wapinzani lakini sio kusaidia watanzania
Police wengi wa kiafrica wanatekeleza maagizo toka juu
 
Huko unakosema kuokoa mwenzako ni jukumu lako kujitolea huduma za kijani, jukumu hill unaanza kufundishwa shule ya msingi na halina malipo.
Aaaha walimu wako walikua na moyo mzuri mpk wanakufundisheni vitu vizuri ivyo
 
Aliyetangaza kusitisha uokoaji kwa sababu ya giza soon atapewa cheo kikubwa na jiwe
 
Back
Top Bottom