Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunaomba msaada wa kueleweshwa, katiba yetu ya Tanzania inatamka wazi kwamba rais ndio mfariji namba moja wa wananchi wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Kwa hii ajali kubwa ambayo hadi sasa zaidi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida 2. Kuna gari aina ya noa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wa JF leo nipo mwanza, na juzi nilibahatika kutemebele kisiwa kimojawapo katika ziwa victoria kiitwacho IJINGA. Miongoni mwa mambo niliyoyaona katika kisiwa hicho ni utulivu na hari ya hewa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ilikuwa na jioni ya tarehe 30 mwezi wa 11 mwaka 1948, John Bain Lyons akiwa na mkewe walikuwa wakifanya matembezi ya jioni kwenye kingo za bichi ya Somerton huko Australia. John aliona mwanaume...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Biography of H.E. President Dr. Jakaya M. Kikwete Dr. Jakaya Mrisho Kikwete is a Former President of the United Republic of Tanzania (2005 to 2015). He previously held various key positions as...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Moja ya majukumu ya wazazi ni kulea na kuendeleza vipaji vya watoto wao. Dunia ya leo yenye ushindani mkubwa inahitaji maandalizi ya watoto wetu ili wawe katika nafasi nzuri kushindana. Upo...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari yenu wakuu,naomba nieleweke juu ya mada hiyo,Mimi huwa siwaelewi sana watu wa mikoa ya kusini. Kwa mfano inapo husu wageni kwenda kufanya kazi kwenye mikoa hiyo hasa Lindi na Mtwara...
0 Reactions
111 Replies
10K Views
Kivuko cha Mv.Nyerere kilichozama huko Mwanza jana kinadaiwa kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 tu lakini kilizidisha karibu mara nne ya uwezo wake. Kuna "mazwazwa" wameanza kukwepesha lawama...
15 Reactions
27 Replies
4K Views
Miili ya watu waliofariki katika ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere imeongezeka na kufikia 224 huku kivuko hicho kikiwa kimebeba watu 265 wakati kina uwezo wa kubeba watu 101. Akitoa taarifa za ajali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni miaka mingi sana toka Mv Bukoba , Mv Spicies n.k hatukujifunza kitu. Bado ukikaa pale ferry ukaangalia vile vivuko vinavyojaza watu pasipo kipimo ndo utagundua nachozungumzia. Nenda ziwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfanowewe ungepata nafasi ya kupendekeza rais mpya aje kutawala Tanzania kutokea kokote duniani ungemchagua nani wewe Mimi ni mchagua presidaa wa zenjii sheniii .were jeeee
0 Reactions
9 Replies
901 Views
Mwaka 1998 jamaa anayejulikana kwa jina la John J. William alikuwa katika matembezi yake milimani huko Marekani, aliona waya wa umeme umechomoza kutoka kwenye udongo. John aliamua kutifua na...
10 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu humu Jf, Nawasalim! Kwa muda sasa nimekuwa nashangaa kusikia miradi mikubwa ya ujenzi ikiharakishwa ili imalizike chini ya muda aliopangiwa makandarasi. Huwa najiuliza maswali yafuatayo...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Mbona Chadema wamemtenga mbunge mwenzao. Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani Ukerewe
1 Reactions
4 Replies
979 Views
Nimegundua asilimia kubwa ya waafrika kama sio Waswahili ni wachawi kwa asili. Tatizo kubwa wanalokumbana nalo ni ukosefu wa zana zá kufanyia kazi ili kutimiza adhima yao. Ukitaka kujua kuwa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za jumapili Wekeend ya mapumziko hii leo nina mengi za kuzungumza ila leo kwangu mapumziko baada ya mihangaiko ya wiki nzima leo hata uvivu wa kupost ninao. Kwangu naamini vitabu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakuna aliyejua kuwa siku ile ingekuwa ndio mwisho wa maisha yake. Kifo ni fumbo kubwa sana kwa mwanadamu nani ajuaye siku ya kuondoka kwake? hakuna ajuaye. Mngekuwa mnajua kuwa meli ile...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Kwa watumiaji wa kisimbusi cha antenna hivi kwa startimes ya antenna mtumiaji anapaswa kuona channel ngapi??
1 Reactions
5 Replies
938 Views
Wakuu habar Kuna video tofauti tofauti zimesambaa mitandaini zikionyesha vidonge kutoka kwenye glas za chupa ya chai.... Binafsi ningependa kujua kama ni sehemu ya material ya ile glass..au...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Hivi jamaa kakosa nguo nyeusi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom