Wazungu wabeza kuzama kwa kivuko

Wazungu wabeza kuzama kwa kivuko

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,644
Reaction score
3,856
Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.

1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?

Mwengine akamjibu

2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.

Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
 
Ila hao ni warusi sio wazungu
 
Huo ni utani ulioanzia Marekani kuwa weusi hawajui kuogelea ni kama vile wa wazungu wanavyotaniwa kuwa hawawezi kuruka (kucheza kikapu).

Mabwawa ya kuogelea ni ghali kwa hiyo kihistoria weusi wengi hawakuwa na sehemu ya kujifunzia kuogelea, hivyo uogeleaji ukawa siyo mchezo unaopendwa sana na weusi wa Marekani. Kikapu kinapendwa sana kwakuwa huhitaji gharama kubwa kumuwekea mtoto goli kujifunza akiwa nyumbani.

Sasa huo utani umezoeleka kuwa weusi wote hawajui kuogelea na wengine wamekwenda mbali mpaka kuja na nadharia za mifupa mizito lakini siyo kweli kwa kuwa watoto wengi Afrika waliokulia pembezoni mwa maji mengi wanajua kuogelea.
 
Huo ni utani ulioanzia Marekani kuwa weusi hawajui kuogelea ni kama vile wa wazungu wanavyotaniwa kuwa hawawezi kuruka (kucheza kikapu).

Mabwawa ya kuogelea ni ghali kwa hiyo kihistoria weusi wengi hawakuwa na sehemu ya kujifunzia kuogelea, hivyo uogeleaji ukawa siyo mchezo unaopendwa sana na weusi wa Marekani. Kikapu kinapendwa sana kwakuwa huhitaji gharama kubwa kumuwekea mtoto goli kujifunza akiwa nyumbani.

Sasa huo utani umezoeleka kuwa weusi wote hawajui kuogelea na wengine wamekwenda mbali mpaka kuja na nadharia za mifupa mizito lakini siyo kweli kwa kuwa watoto wengi waliokulia pembezoni mwa maji mengi wanajua kuogelea.
Ok
 
Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.

1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?

Mwengine akamjibu

2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.

Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
lkn kama kuna kaukweli flani hivi,unakuta tu limtu jibaba zima eti linasema "mi naogopa maji" yaani mi huwa nakasirika balaa,unaogopaje maji???mtu mzima na akili zako kweli uogope maj[emoji87][emoji87]
 
Duh. Ila kweli
 
hhhhahaaaaaahhhh bora nicheke...we jamaa wewe hahahahahahhah!maji yanaua fast usituajze hapa
 
lkn kama kuna kaukweli flani hivi,unakuta tu limtu jibaba zima eti linasema "mi naogopa maji" yaani mi huwa nakasirika balaa,unaogopaje maji???mtu mzima na akili zako kweli uogope maj[emoji87][emoji87]
Kumbe bado mnauziwaga tu?Pamoja na polisi kung'oa mimea ya kutosha kumbe tatizo bado lipo!
 
Ila watu weusi tuna tatizo na kuogelea. Nina uhakika ktk hiyo ajali kuna watu kadhaa wangeweza jiokoa kama wangekuwa wanajua kuogelea. Kivuko huwa hakizami ndani ya dk moja. Kinazama taratibu, kwa mtu mwenye kujua kuogelea anajitosa tu majini.
Bahati mbaya hata mie ni mkazi wa Dar na bahari ipo ila sijui kuogelea.
 
hii conclusion yako ni ya kitoto sana. mi nlidhani watu wenye akili timamu wameongelea hilo kumbe maoni tu ya mtu binafsi kwenye page ndo unapata conclusion wazungu wamebeza? nyie wengine shule huwa mnajifunza nini? a merely somebody and you generalize because of those two people?which is also a joke? inaingia akilini kweli kuna watu wanaishi pembezoni mwa ziwa victoria, nyasa,tanganyika, etc wasijue kuogelea? maoni ya mtu mmoja mmoja ambaye si lolote si chochote unasema "wamebeza" nlidhani ni watu flani wanaoongea kwa niaba ya wengine wengi nyuma yao. mjaribu kukua jamani.mnatukatisha tamaa sana sisi wengine kwa style hii. kesho na keshokutwa unaweza kuja kuwa mke wa mtoto wangu kwa reasoning kama hii kweli nitakuwa na mkwe hapo?

Huwa napenda sana kutembelea shirika la habari la urusi ambalo linaitwa RT au russia televison na wakati mwengine huwa natoa maoni. Sasa leo wametoa habari ya kivuko kilichozama. Watu wakaanza kutoa maona kama ifuatavyo.

1. I am always amazed. Do these people not know how to swim?

Mwengine akamjibu

2. Africans have difficulty swimming for some reason, heavy bones.

Alafu huyu namba 2 akapata likes za kitosha tu. Nikajiuliza hivi hawa wazungu wanaakili kweli
 
Wenzetu wanapitia mafunzo ya jeshini, sisi huku tunapinga, wao wakifikisha umri flani wanafundishwa jinsi ya kujikinga na athari kama hizo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom