Maumivu ya Kamari

Maumivu ya Kamari

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Katika maisha ya kutafuta pesa kuna vitu vingi Sana hasaa tamaaa.. Vijana wengi wanabet siku hizi na wengne wanacheza michezo Kama Biko lakini Asilimia kubwa huishiaa kuliwaa na wengne hata kupoteza pesa nyingii Sana..!! Aisee niliwahi bet hela ya mkopo nkitegemea ntapata zaidi ili nilipe pesa niliyokopa...Haa ha ha niliishia kukopa hela ya kulewaa tenaa ili at lst nipunguze maumivu...ilikuwa 100k! Nilihisi naota toka siku hiyo nabet buku buku tu...

JE wewe ushawahi Liwa pesaa ndefu na ilibidi uitumie kwa jambo muhimu...ilikuwaje!??
 
Mzee umenikumbusha mbal sana ,enzi hizo nasoma shule sec.form two,nimepewa ada na pesa ya matimizi daaah ebwaana eneee nimefika karibu na stand ya basi nakutana na wanaume wale wakutumia sabuni na viberiti.

Kihere here changu eti nitapata dabo baada ya kuona jamaa kawekaa elfu tano kapata elfu kumi kumbe ni mwenzao. Nikatoa ishirini ili nipate arobaini nikienda shule wanikome. Haaaah Mara jamaa kwa hamaki akafunua sabuni akasema dogo umeliwaaaa ,jaribu tena. Haki ya Mungu nilitamani kulia,jicho limeiva na mijamaaa imebadili sura na kuanza kuonyesha visu. Niliondoka kinyonge mno na tangu siku hiyo sitaki kabisa hii michezo,yaani sijui biko ,tatu mzuka sitaki kabisa[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Unashindwaje kula hela kama hapa kwa mfano. Wengi wanaliwa kwa ajili ya tamaa.
Screenshot_2018-09-24-10-41-48.jpeg
Screenshot_2018-09-24-10-42-12.jpeg
 
Mzee umenikumbusha mbal sana ,enzi hizo nasoma shule sec.form two,nimepewa ada na pesa ya matimizi daaah ebwaana eneee nimefika karibu na stand ya basi nakutana na wanaume wale wakutumia sabuni na viberiti.

Kihere here changu eti nitapata dabo baada ya kuona jamaa kawekaa elfu tano kapata elfu kumi kumbe ni mwenzao. Nikatoa ishirini ili nipate arobaini nikienda shule wanikome. Haaaah Mara jamaa kwa hamaki akafunua sabuni akasema dogo umeliwaaaa ,jaribu tena. Haki ya Mungu nilitamani kulia,jicho limeiva na mijamaaa imebadili sura na kuanza kuonyesha visu. Niliondoka kinyonge mno na tangu siku hiyo sitaki kabisa hii michezo,yaani sijui biko ,tatu mzuka sitaki kabisa[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Achana na hizo betting nyingine.

Fanya sport betting mkuu
 
Hizo pia niliwahi liwaa tena Pocket money mzee...Maeneo ya Ubungo palee!
 
Juzi tu nililiwa kama elfu kadhaa na wahuni wana bahati nilikuwa na akili zangu za usiku kwangu kwako chafu kadhaa karata washazikariri wakaanza kunipiga ...Dah nitawarudia na akili zangu mpya
 
Kihere here changu eti nitapata dabo baada ya kuona jamaa kawekaa elfu tano kapata elfu kumi kumbe ni mwenzao. Nikatoa ishirini ili nipate arobaini nikienda shule wanikome. Haaaah Mara jamaa kwa hamaki akafunua sabuni akasema dogo umeliwaaaa ,jaribu tena.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Hiyo inaitwa danganya toto...cha ajabu hadi watu waziwa wanadanganywa....
 
Back
Top Bottom