Kwa hesabu zangu tu za kawaida mchanganuo wa rambi rambi mpaka sasa upo ivi:-
mpaka sasa
marehemu ni '225
manusura ni 40~
jumla ya watu wote ni 265 waliokua kwenye kivuko
TUANZE.
- serikali...
Wanabodi,
Mwana Jf mwenzetu, William Malecela, Le Mutuz Super Brand, by professional ni baharia, hivyo ameitwa TBC kutoa expert opinion kuhusiana na usalama wa melini.
Tumfuatilie.
P
Update...
Kwanza napenda kuwapa pole ndugu wote waliopatwa na msiba huu mzito pamoja na watanzania kwa ujumla.
Napenda kutoa mapendekezo kwa serikali kuhusu namna bora ya kuhakikisha kuwa vivuko vyetu...
Mpaka sasa bado sijaelewa napoambiwa kuwa mazoezi husaidia katika kusaidia wanandoa au wapenzi kudumu katika tendo la ndoa, je ni mazoezi husaidia kuondoa pre nature ejaculate??husaidia uume...
Habari wanaJf,
Ukara ni moja ya visiwa vingi vilivyo ndani ya ziwa Victoria. Kisiwa hiki kipo umbali wa takribani kilometer 10 kaskazini ya kisiwa cha Ukerewe.
Ajali ya Mv Nyerere ambayo leo...
Salaaam bandugu! leo nina dukuduku langu la kumwaga hapa natumai litawafikia wahusika lisipofika itabidi nikwee pipa niende kureport makao makuu hehehehehehe (ni utani tu).
Kwa siku takribani 15...
Nilimsikia kangi lugola akiirembesha kauli ya magufuli kuwa msiba usitumike kisiasa
Nataka kujua tu waliokufa walikuwa wanaccm au kangi lugola hakuwaona hawa
Nimekuwa nikijiuliza, Vijana wengi huwa wanasafiri kwenda Jozzy kwa kutumia usafiri wa kuunganisha Mabasi. Hivi nauli huwa ni rahisi kiasi gani ukilinganisha na Ndege maana bajeti huwa kama Laki 2...
Wanajamvi naomba nirudi tena kwenye hii taasisi yenye dhamana ya ufundi. Kwa mtazamo wa haraka kuna madudu mengi hasa watumishi wenye vyeti feki na wanaotumia vyeti vya wengine.
Nafikiri ni...
Kusema kweli kuna baadhi ya masharti ya waganga wa kienyeji yanadhalilisha sana. Unakuta mtu ni mkubwa kabisa cheo cha juu anapewa masharti ya kutohudhuria misiba ya nduguze. Unakuta mtu ni bosi...
Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata...
Kati ya watu wanao ichukia hii mitandao ni mimi tokea niache kutumia hii mitandao natumia mda wangu vizuri bando linachelewa kuisha 'google ndo imekuwa kimbilio langu najifunza vitu vipya na...
katika mambo yanayoumiza ndo haya kila siku shilingi inapunguwa thamani dhidi ya dola hii ni hatari mno
jee serikali yetu inafanyaje kuovercome hili tatizo natamani sana nione shilingi ikiimarika...
MKOA wa Manyara sasa umefikisha miaka ingawa sio sana toka ugawanywa kutoka Mkoa wa Arusha.
Kimsingi mkoa mpya unachangamoto nyingi ila sasa Manyara hatupaswi kulia lia tumekuwa
Nataka niwatie...
Makampuni makubwa yanazidi kuwekeza kwenye ujuzi badala ya vyeti.
Lango la ajira linafunguliwa kwa anayeweza sio mwenye vyeti bila kujali kasoma au la.
Ukienda migodini utakuta jamaa form four...
Yapo maswali mengi ya kuuliza na kujifunza kutoka kwa wengine, kufuatia tamko la Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Je, Serikali imewahi kutathmini sheria ya kufunga na kufungua maduka au sehem za kuuzia...
Habari ya kazi wanajamii,
Kwenu nyie watoa huduma katika taasisi za kiserikali, najua baadhi yenu mpo humu Jamiiforums
Kiukweli kabisa mnakera sana, na sijui kwenye hizo ofisi zenu mmeajiriwa...
Hakuna anayekubali kuzaa na mume wa mtu; ikumbukwe kuwa mapenzi ni hisia. Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mme wamtu ... ile mnaendelea kuhudumiana .. mimba.
Unakataa kwamba huyo mume wa mtu...