Hapo zamani kidogo kulikuepo mfalme ambae aliongoza nchi fulani, Mfalme huyo aliongoza kwa weledi mkubwa huku akiwa na ushawishi mkubwa kwa wananchi wake.
Siku moja mfale huyo aliwaamuru walinzi...
Watu 35 ambao ni wanakijiji wa Magange Wilayani Serengeti, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaua watu watatu waliodaiwa kuiba ng'ombe.
Waliouliwa ni Magori Nyamhanga na Nyangeresi Mahemba...
Hakuna kitu kikubwa na muhimu humu duniani kama kuishi ukiwafanya watu wanaokuzunguka pasipo ubaguzi wowote ( Walemavu na wale walio na mahitaji kama yatima na wazee) kuwa na furaha na amani...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imefanikiwa kufanya upasuaji wa kutenganisha mapacha walioungana, waliozaliwa Kisarawe mkoani Pwani, Julai 12, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARl KUHUSU KIFO CHAIGP MSTAAFU SAMUEL H.PUNDUGU
lnspekta Jcnerali wa Polisi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa lnspkta Jenerali wa Polisi Samweli Huma...
hello JF,
leo nimewaza...
Activists wengi huwa wako kwenye climate change,
Wakihimiiza tutunze mazingira ili iwafae watu watakaokuja kuitumia hii dunia (intergenerational)
Sasa nimeona ni...
Huko nyuma Tanzania ilijulikana duniani kama nchi ambayo ilikuwa kisiwa cha amani. Sasa kutokana na matukio mengi ya kuvunjwa kwa haki za binadamu pamoja na migongano ya kisiasa na vitendo vya...
Katika kuitikia wito wa viongozi wa kuacha kupoteza muda vijiweni machinga wa Kariakoo wameanzisha mambo mapya ya kitaalam , sasa wameanza kuuza dawa za binadamu ili kuziba pengo la uhaba wa dawa...
Kwa sasa wahariri wengi wa vyombo vya habari hasa magazeti, wapo mifukoni mwa mafisadi.
Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana...
Ni Alhamis nyingine kwa majira ya Afrika Mashariki, ni siku mpya nyingine iliyoanza kwa mawingu na kimvua kwa mbali kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam
Basi hatuna budi kumshukuru Mungu kwa...
Nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha kikosi maalumu cha uokozi Baharani ni kwenye maziwa makubwa kitakachiotwa Coast Guard ili kukiimarisha na kukifanya kiweze kufanya kazi saa 24 yaani usiku n...
Habari wana Jamvi!
Naomba Kufahamu kuhusu suala la passport kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano.
Siku hizi ukitaka passport lazima uwe na kitambulisho cha uraia, Je na kwa watoto hii issue...
Tanzania has one of the worst ferry safety records in the world, according to the Worldwide Ferry Safety Assn. in New York. There have been several deadly accidents on Lake Victoria, Africa’s...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ,nishukuru wana Jf wote na kwa namna ya pekee kabisa walio nishàuri hili na lile nilipo omba ushauri na Dawa juu ya Tatizo la Baba yangu aliyekuwa anaumwa...
Kuna tofauti kubwa kati ya kufikiri kwa usahihi (Accurate Thinking), na kufikiri ili kutoa maoni( Critical Thinking). Tofauti na maana za maneno haya ni kubwa. Na hii imekuwa inawachanganya watu...
Jana mtandao ulikuwa unasumbua hivyo ilikuwa ni ngumu kutumia NMB Mobile,kulingana nilikuwa na shida ya kupata pesa kutoka kwenye akaunti yangu(kadi iko mbali) nikaamua kutumia NMB App lakini...
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya...
Mnajua sisi wanaume tunaumia sana kulea mtoto ambae unaambiwa ni wako lakini kwa macho ukimuona tu unajua hapa nimebambikiwa kufanana kafanana na Mangi muuza duka.
Ni sawa kitanda hakizai haramu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.