Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakerwa na mpangilio wa TBC kutuonesha watu wakigaiwa pesa badala ya kutuonesha uinuliwaji wa MV Nyerere. Nawakilisha.
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Rejea Kichwa cha Habari kisha anza zako Kutiririka na Kuserereka kwani Mimi bado niko nje napambana nao ila bado tu wananidindia / wananikatalia Kuondoka. Nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki. Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka. Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanaobeza serikali kuwa imeokoa mtu mmoja na wavuvi wameokoa Watu 40 nahisi hawajui namna maji yanavyoua kwa haraka Kwa namna kivuko kilivyo pinduka ni vigum sana kumuokoa mtu Kama waokoaji...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
I gave her money I gave her time I gave her everything Inside one heart could find I gave her passion My very soul I gave her promises And secrets so untold And she promised me forever And a day...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarini wanajukwaa Kuna jambo nimelioona leo asubuhi standi ya mabasi kiukweli nimeshindwa kulielewa, nimeona niliwasilishe humu ili mamlaka husika au yoyote mwenye uelewa atujuze kuhusu...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Watuhumiwa watatu wa ujambazi wameuawa kwa kushambuliwa na wananchi wa kijiji cha Maziwa wilayani Chemba mkoani Dodoma mara baada ya kumvamia mmoja wa wafanyabiashara wa kijiji hicho na kufyatua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
‪Susan Njeri (42) Raia wa Kenya amefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumuambikiza Mtoto wa jirani yake mwenye miezi 9 virusi vya UKIMWI, Susan anadaiwa kumnyonyesha Mtoto huyo akiwa anatambua kuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Lipo jambo lisilo la kawaida na ambalo halina tija linafanyika Kiteto, kwa kweli halistahili. Iko hivi..Serikali ina utaratibu wa kuajiri na kupanga watumishi kulingana na ikama Hili halina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu husema jela jeraha wengine husema jela geto la masela Wengine husema Kuna jela na Gest na eti ukifka Kuna mijeba inakugombania haya maneno Yana ukwel wowote Na unapaswa uishije ili urudi bado...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili tangazo muhimu sana hatujasikia kama waokoaji waliokoa sh ngapi mifukoni kwenye, mapochi na kwenye vitenge maana wakati mwingine hata gari likianguka wadau wa huko kwetu huwa wanaanza kwanza...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Kuna kisa kimoja nimekutana nacho hivyo naomba nikiweke hapa. Nlikuwa central police arusha nlikuwa rumande baada ya Askari kunilazimisha kuwa nilipita kwenye taa nyekundu wakati...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna tofauti kubwa kati ya kufikiri kwa usahihi (Accurate Thinking), na kufikiri ili kutoa maoni( Critical Thinking). Tofauti na maana za maneno haya ni kubwa. Na hii imekuwa inawachanganya watu...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Kuna haja ya hili somo kuingizwa katka mitaala ya elimu kuanzia shule ya msingi hadi sekondari kwa shule zilizoko pembezoni mwa bahari,maziwa pamoja na mito ili kuongeza idadi ya wapiga mbizi na...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Polisi mkoani Dodoma inamshikilia mwanafunzi wa Chuo cha Mipango kilichopo jijini hapa, James Senya (21) kwa tuhuma za kujihusisha na makosa ya uvunjaji na wizi katika maeneo mbalimbali ya jiji...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Idadi ya watu barani Afrika inakuwa kwa kasi ambapo kufikia mwaka 2050 itakuwa imeongezeka maradufu ya ilivyo sasa, huku 40% ya watu masikini kabisa duniani wakihofiwa kuja kuishi kwenye mataifa...
0 Reactions
5 Replies
758 Views
Mjukuu wa Malkia wa Uingereza “Prince” William anatarajiwa kufanya ziara nchini kuanzia tarehe 26 hadi 29 Septemba 2018. Ziara hiyo inakuja kufuatia maombi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Siri kuhusu dawa ya kupanga uzazi Umuhimu wa dawa hiyo kiuchumi na kijamii umeangaziwa kwa kina katika tafiti mbali mbali. Kutoka siku moja hadi nyingine watu walifurahia kushiriki tendo la ndoa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jacob Shabani (30) mkazi wa kijiji cha Wanzamiso kata ya Igokelo wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza amefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kufanya mapenzi na mwanaye mara tatu na kumpa ujauzito...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Habari zenu wana jamvi.....kumekuwa na changamoto za usafir wa majini kufika kisiwani.mafia...inakulazimu.kutumia usafir wa basi paka NYAMISATI..hapo itakulazimu kulala kwenye mazingira magumu ya...
1 Reactions
59 Replies
10K Views
Back
Top Bottom