Mh. Kangi hii style ya kukusanya mapato sio kabisa

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,419
15,974
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.
Screenshot (1).png
 
Habari wakuu,
Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani. Cha ajabu gari nimepaki home na ufunguo nimefungia ndani na mimi huo muda sikua home ila nimekuta nadaiwa 60,000 kwamba gari yangu ina tairi mbovu, sehemu wanapotaja kwamba gari ilikamatwa ndio napasikia kwa mara ya kwanza, leseni ya mtu aliyeshikwa na gari sio yangu na mimi huwa sina kawaida ya kuazimisha gari. Hii sio sawa kabisa.View attachment 878392
Toa hela wew acha kelele
 
Sasa hivi trafic wengi wanaandika tu bila kukamata gari

Utakuja kamatwa baadae na gari kutoachiwa hadi lilipe
 
Lipa tu mkuu makusanyo yafikie lengo,Awamu hii ata ukiwa Chooni watakufikia tu.
mkuu kulipa sio tatizo ila tatizo ni kulipia kosa la kubambikiwa tena huyo askari ni kama alikaa chini ya mti akawa anabuni namba randomly akaipata plate number yangu akaiandikia fine.... Wakae wakijua chamtu hakiliwi kizembe
 
mkuu kulipa sio tatizo ila tatizo ni kulipia kosa la kubambikiwa tena huyo askari ni kama alikaa chini ya mti akawa anabuni namba randomly akaipata plate number yangu akaiandikia fine.... Wakae wakijua chamtu hakiliwi kizembe
Nenda karipoti wakupe ushahidi mkuu
 
Wanazisaka pesa kwa udi na uvumba ili miradi yote na madege yawe yanalipiwa kwa CASH
 
Jana nimemuona jamaa sijui ni wakala wa TRA alikua anapita na kuwakagua anwaambia ambao hawana leseni wafunge vibanda vyao vya biashara haoa jijini
 
Hapo muhimu ni kutafuta tu faini uliandikiwa wapi? Traffic gani aliyeandika then watoe ushahidi hapo. Pole mkuu
mkuu hela ilivyo ngumu then mtu from nowhere ananibambikia kosa wakati gari yangu tairi ni nzima!? na kwanini gari yangu iwe na mtu tofauti wakati muda wote nimeipaki nyumbani!?
 
Jana nimemuona jamaa sijui ni wakala wa TRA alikua anapita na kuwakagua anwaambia ambao hawana leseni wafunge vibanda vyao vya biashara haoa jijini
then wanajitapa wana promote biashara, shame on them
 
Mkuu, wewe lipa tu. Kama sio wewe kuna mtu kakuingiza mkenge.
Mimi nilibisha nikaja kuta kumbe mdogo wangu alichukua ndinga nae akampa rafiki yake, wakakamatwa ila hawakuniambia, nikalipa huku nawatukana matusi mazito polisi. Baada ya kumbana dogo baadae ndio akafunguka.
 
Back
Top Bottom