Habarini za jioni?? Nimekuja kwenu kuwasilisha ujumbe huu umfikie Melard Ayo na wenzie walioamua kuchezea tasnia ya takwimu na tafiti kwa kujificha nyuma ya '' wataalam wa mambo''
Eti"Wataalam wa...
Naomba nikiri kwanza kama nchi tuna tatizo kubwa sana la wahitimu wetu kutokuimudu vizuri lugha ya kingereza na hii inatokana na ukweli kwamba mfumo wetu wa elimu ni tatizo. Je nini kifanyike...
Tatizo la upweke ambalo linawakumba watu wengi hasa wenye umri wa zaidi ya miaka 50, litawaumiza mamilioni zaidi duniani ndani ya kipindi cha muongo mmoja, kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni...
Waasalam !!
Kwa kweli hawa jamaa wanakera sana sana, yaani kila baada ya kilometa mbili tatu unasimamishwa ukaguzi ni ule ule, hivi hawajui muda huu tulionao kwa mtu active muda ni kitu muhimu...
Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Sekondari ya Mbezi (19), Juma Idd leo Jumatano Septemba 26, 2018 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kumpa ujauzito...
Heshima kwenu wakuu,
Nakumbuka kule Nungwi watu waliogelea kilometa tano hadi wakaogelea. Eti hawa Wasukuma wanajiita wanaume wa mkoani wanashindwa kuogelea mita 50.
Wapemba wanaogelea kwenye...
Wana JF,,tusaidiane hapa; Ikiwa mtu kakuomba kiasi fulani cha fedha, unacho hicho kiasi ila ukifikiria sababu kubwa ya kumpa fedha hiyo kulinganisha na matumizi yako huioni...Utampa jibu gani la...
Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
Hali imekuwa mbaya sana kwa maeneo tajwa hapo juu. Wezi wamekuwa wakivunja nyumba na kuingia ndani kuiba TV na vyombo vingine vya ndani.
Mifugo pia imekuwa ikiibwa, yaani watu wanaiba zizi zima la...
RC HAPI ABAINI MADUDU MANISPAA YA IRINGA
Udhaifu, upigaji kwenye miradi inayosimamiwa na manispaa vyabainika.
Migogoro ya ardhi Kihesa yateka mkutano
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi amefichua...
Zaidi ya watu milioni 3 walikufa kutokana na matumizi ya pombe mwaka wa 2016, sawasawa na kifo 1 kati ya 20 duniani kote, kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani.
Zaidi ya asilimia 75...
Wasalam wakuu,
Kama uzi unavyojieleza nashukuru Mungu ndoto yangu ya kumiliki usafiri binafsi imetimia na sasa natamba barabarani, well lengo sio kuonyesha kama nimenunua gari lakini nilikuwa...
Jaroslav bobrowski (30) wa Ujerumani amefungiwa kula katika mgahawa mmoja nchini humo baada ya kumaliza sahani 100 za chakula,
Bobrowski huwa hali chochote kwa muda wa masaa 20,hivyo anapoamua...
Jacinda Ardern
AKIWA amefuatana na mwanaye mchanga na mpenzi wake katika ukumbi wa mkutano, Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern, ametoa hotuba yake ya kwanza katika Baraza Kuu la Umoja wa...
Leo ni Siku kama ya Saba ( 7 ) kulitokea Ajali mbaya sana ya Treni hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo ambayo hadi hivi sasa Watu kama 300 wamepoteza maisha huku ikisemekana kuna Abiria wengine '...
Muuguzu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiwa na mama wa watoto mapacha waliotenganishwa hospitali hapo hivi karibuni baada ya kutenganishwa na taarifa toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Muhimbili...
Habari zinakufikia kuwa ndugu, rafiki au jamaa yako ni mgonjwa na hajafanikiwa kupata matibabu vizuri kutokana na uhaba wa fedha. Kutokana na hali yako ya kifedha kutokuwa nzuri kwa sababu ya...
Nimeambiwa kuwa kuna tofauti ya Wahudhuriaji wa matukio wa ' hiari ' yao na wale ambao Wanahudhuria ama kwa ' Kulazimishwa ' au kwa ' Kuahidiwa ' kupewa Chai, Maharage, Soda, Usafiri na Chakula...
NIngependa kutoa wito kwa Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, aongeze bidii katika kuufanya mkoa wa Dar es Salaam uwe wa kijani zaidi kwa kufanya kampeni ya upandani miti na maua eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.