Serengeti: Watu 35 Washikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuua watu watatu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Watu 35 ambao ni wanakijiji wa Magange Wilayani Serengeti, wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwaua watu watatu waliodaiwa kuiba ng'ombe.

Waliouliwa ni Magori Nyamhanga na Nyangeresi Mahemba ambao ni Wanakijiji wa Kemugesi, mwingine ni Maro Magori mwanakijiji wa Magange.

Polisi wanaendelea na Uchunguzi wa tukio hilo kabla ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani.

======

Serengeti. Thirty-Five residents of Magange Village in Serengeti District, Mara Region, are being held by police allegedly for killing three people.

Serengeti District commissioner Nurdin Babu told The Citizen on Wednesday, September 26, that the suspects were arrested on Tuesday, September 25, following the death of three people accused of stealing cattle.

He named the people who were killed as Magori Nyamhanga and Nyangeresi Mahemba, who are residents of Kemugesi, and Magange Village resident Maro Magori.

According to him, police were still investigating the incident before arraigning the suspects before a court for the law to take its course.
http://www.thecitizen.co.tz/News/---Thirty-five-Serengeti-/1840340-4778996-1dovgrz/index.html
 
Watu 35 ni 'mwano' uliofuatilia wezi wa mifugo.

Kanda ya ziwa and the like, utamaduni huo upo sana tu.

Mtu akiishaibiwa ng'ombe zake, hupiga nduru na watu kukusanyika kufuatilia.

Wezi wanapokamatwa kuna mawili: kupambana na vita wawashinde wenye mali, ama wezi kukamatwa na kuuawa.

Ukiona polisi wamekusanya kundi zima la mwano na kuliweka ndani, lazima kuna ndugu zao, ama wanufaika na hao wezi walioenda kuitonya polisi.

Vinginevyo wezi wa mifugo 'kabila hiyo' huuawa kinyama bila kesi.
 
Back
Top Bottom