Vitukuu vitanufaika na nini

Vitukuu vitanufaika na nini

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
hello JF,

leo nimewaza...

Activists wengi huwa wako kwenye climate change,

Wakihimiiza tutunze mazingira ili iwafae watu watakaokuja kuitumia hii dunia (intergenerational)

Sasa nimeona ni apply the same phenomenon to our current government,

Je, Magufuli na serikali yake wana plan nini kitakacholast through generations..?

Policies/political climate/maendeleo ya jamii etc

Unadhani kitu gani kitakuwepo alichoanzisha Magufuli hata baada ya yeye kustaafu?...

Vitukuu vitafaidika nini?lol

Ningependa kuuliza tena wanajamii,

Wazazi wengi wanapenda kuwaachia watoto wao elimu au labda biashara za familia etc...

Nauliza WOTE what else vijukuu vitarithi?

Mmejipanga kuiacha hii dunia mahali safe kwa wanaokuja?
 
Labda awache urithi kwa vitukuu vyake mwenyewe sio kwa vitukuu vya watanzania. Chama cha majuha hakipo kwa ajili ya watanzania kipo kwa ajili ya mafisadi wachache tu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wakati wenzetu wa mataifa yaliyopiga teke kauli hizi wanawaza kuvumbua sisi hata tulizoachiwa na mababu hatuja vigusa tunawaza vitukuu ,Mi naona ungesema vitukuu watatuhukumu vip
 
Wakati wenzetu wa mataifa yaliyopiga teke kauli hizi wanawaza kuvumbua sisi hata tulizoachiwa na mababu hatuja vigusa tunawaza vitukuu ,Mi naona ungesema vitukuu watatuhukumu vip

Ndivyo hivyo maana yake... vitukuu vitatuhukumu Vipi??
 
Usiogope,zipo flaiova,makinikia tumeyazuia bandarini na chama chao kisicho na mpinzani watavikuta tu.
 
hello JF,

leo nimewaza...

Activists wengi huwa wako kwenye climate change,

wakihimiiza tutunze mazingira ili iwafae watu watakaokuja kuitumia hii dunia (intergenerational)

sasa nimeona ni apply the same phenomenon to our current government,

je Magufuli na serikali yake wana plan nini kitakacholast through generations..?

policies/political climate/maendeleo ya jamii etc

unadhani kitu gani kitakuwepo alichoanzisha Magufuli hata baada ya yeye kustaafu?...

vitukuu vitafaidika nini?lol

Ningependa kuuliza tena wanajamii,

wazazi wengi wanapenda kuwaachia watoto wao elimu au labda biashara za familia etc...

nauliza WOTE what else vijukuu vitarithi?

mmejipanga kuiacha hii dunia mahali safe kwa wanaokuja?
Kweli asiyekupenda hakupendi! Hata kwa macho huoni? Reli na Umeme
 
Nimemgomea!
HAZINA Int. School, Ada ni 6m, wanavujisha Mitihani! Nikiwa nao watoto wa5!
Amesema elimu bure shule za kata akimaliza form six anakuambia chips egg far far or confuse dad!
 
Back
Top Bottom