Watumishi wa umma wa darasa LA saba.

Watumishi wa umma wa darasa LA saba.

Ambase

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
562
Reaction score
480
Habarini wana jamii. Hebu tusaidiane. Hili tatizo kwa watumishi wenzetu walioachishwa kazi kwa kutokua na vyeti vya form iv. Huu ni uonevu mkubwa kwani hawa watumishi hawakujiajiri wenyewe bali serikali kwa taratibu zote. Walikua. Na check namba. Na pf namba. Sasa ajabu wakaondolewa kama vibaka.inauma sana. OK. Walipeni hela walizokua wanakatwa NSSf. Mfuko wa hifadhi muachane wapi ni uonevu mmbaya mno mungu anawaona. Wallah.
 
Hamna namna sasa ndio hali halisi. Cha msingi ni walipwe stahiki zao waendelee na maisha.
 
Back
Top Bottom