Dar Supa Uni Vipi Tena...?

Dar Supa Uni Vipi Tena...?

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
Habari Wandugu.

Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia.

Na kabla ya hapo walipunguza unit katika pindua pindua. Sasa tena naona kama Dar Supa Uni pia imeingiliwa ndio mana nauliza Dar Supa Uni Vipi Tena wandugu...?

NAWASILISHA.
 
Sitasahau juzi nataka nijiunge kifurushi cha hero Dar supa uni MPESA sasa nikabugi bwana, sehem ya kuweka kiasi cha hela(500) nikaweka password/mamba ya siri. Natumiaa tu najua no kifurushi cha jero kumbeee nimejiunga zaidii tens cha wiki madakika kibaooo. Nilipata tabu sana
 
mimi wameniboa sana natamani hata nitumie tena tigo maana nilizoe TMK SUPA TSH 2000 dakika 200 kwa wiki
 
Habari Wandugu.

Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia.

Na kabla ya hapo walipunguza unit katika pindua pindua. Sasa tena naona kama Dar Supa Uni pia imeingiliwa ndio mana nauliza Dar Supa Uni Vipi Tena wandugu...?

NAWASILISHA.
Walaumiwe washamba wa mbagala (....tunakusajili chap unaanza kutumia)
 
Kwa nini unasema hivyo kiongozi...?
Wanatangaza kwa zile speakers habari ya kusajili line za chuo! Jambo hili limesababisha wateja wengi kusajiliwa huko na flow chart ya voda inaonyesha watumiaji wengi wako kwenye category hiyo!

Voda wameiona fursa hiyo waliyoitengeza bila kulipia matangazo wanaitumia ku maximize profit.

Waliotumika kutangaza bure ni wale wamachinga pale mbagala.
 
Habari Wandugu.

Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia.

Na kabla ya hapo walipunguza unit katika pindua pindua. Sasa tena naona kama Dar Supa Uni pia imeingiliwa ndio mana nauliza Dar Supa Uni Vipi Tena wandugu...?

NAWASILISHA.

Nimetoka kupigwa sasa hivi na hiyo Dar supa KWA HERI VODA hatuiona tena hela yangu.
 
Ilikuwa wanatuvuta tukavutika na tutawakimbia,kutoka dk 150 v to v mpaka 135,dk 50 mitandao yote mpaka 30 na sasa 15,kutoka sh 2000 mpaka 2500,halafu utashangaa Mimi natozwa 2500 dk 150 ikiwa v to v dk 135 na 15 mitandao yote,kuna jamaa yangu anatozwa 2000 anapewa dk 180 dk 150 v to v 30 mitandao yote ,sasa nashindwa kuwaelewa nataka kukimbilia tigo mtandao uko slow twende wapi wandugu tuwaache na mtandao wao.
 
Huku kaskazini tunakula ofa ya 1500 dk 150 na dk 15 mitandao yote na 1gb kwa wiki. fresh
 
Wanatangaza kwa zile speakers habari ya kusajili line za chuo! Jambo hili limesababisha wateja wengi kusajiliwa huko na flow chart ya voda inaonyesha watumiaji wengi wako kwenye category hiyo!

Voda wameiona fursa hiyo waliyoitengeza bila kulipia matangazo wanaitumia ku maximize profit.

Waliotumika kutangaza bure ni wale wamachinga pale mbagala.

Sasa kiongozi kwani wale wa Mbagala wanaweza kuunganisha watu bila ya kuunganishwa makao makuu kiongozi...?

Si watakuwa wamepata baraka zote kutoka ofisini bro...?
 
Back
Top Bottom