Hakuna cha Msamaha wala nini ni Ngumu Ngumu

Hakuna cha Msamaha wala nini ni Ngumu Ngumu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kwa wale wote niliowakwaza na kuwauzi mi naona haina haja ya kuombana msamaha,

We kama unasubiri siku moja Zero IQ atakuja hapa na kusema jamani wana Jf wenzangu Am sorry kwa yale mabaya niliyowatendea futaaa kabisaa.

Kama ni beef naomba liendeleee kama ni kisasi kiendelee tena kifanye kiwe kikubwa zaidi.


Hakuna kuombana msamaha hapa ni ngumu ngumu tu .



CcTeam Roho mbaya.
 
Kuna wakati inafika kwa amani ya moyo ili mambo mengine yaendelee msamaha unahusika.
IMG_20180930_112602_762.jpg
 
Sawa ila maji yakikufikia shingoni usilalamike
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijui umewaza nini
Leo nimewaza wale watendaji wa jiwe kule Iringa na huyu aliyesema Fyekelea mbali nimeona hakuna haja ya kusamehe vichwa kama vileee
 
Yamekukuta Yapi "?? tena
Nimesikia leo clip flani ya Rc wa jiwe kule iringa na mmoja wa huko wapi sijui anasema fyekelea mbali kiukweli nimeona dunia hii siyo ya kuombana msamaha ni ya ngumu ngumu tu.
 
Nimesikia leo clip flani ya Rc wa jiwe kule iringa na mmoja wa huko wapi sijui anasema fyekelea mbali kiukweli nimeona dunia hii siyo ya kuombana msamaha ni ya ngumu ngumu tu.
Aisee
 
Back
Top Bottom