Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Mtegemea cha ndugu hufa masikini, lakini mimi acha nife masikini. Kuna ndugu yangu mmoja anafatilia mafao yake sasa ni mwaka unaenda na kila anapokwenda makao makuu ya pspf japo ss imeungwanishwa pamoja, kila anapoenda anapigwa tarehe tu mara sasa hivi kaingia mkurugenzi mpya anafanya uhakiki mara mifuko imeunganishawa mara soon utafurahi basi ilimradi upate faraja, sasa huyu jamaa ananipeleka loss,
Mpaka sasa ashatumia tsh. 5million ya kuazima ili asubirie mafao yake siwezi mtosa sababu ni jamaa wa karibu, kumwacha hivi hivi ni sawa kumtupa. Sasa naona kila siku gharama ya kumuhudumia inazidi tu! kila siku anaweweseka na siku nyengine ananambia kuwa ameota ndoto amepokea pesa yake yote du!, ila namvutia muda tu!
nikiona hali bado inabidi nimkatae.
Note
Kuna kazi kabla ya kufanya inabidi utafakari kwa kina kama UALIMU.