UROJO AU CHIPSI

UROJO AU CHIPSI

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
2,910
Reaction score
3,024
Assalaam Alaykum

Nataraji mpo salama na familia zenu

Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai

Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!

Nawatakia maisha marefu
 
Tunakoelekea ni kila mwanaume kuuza mechi kwa dildo maana dushe halitowatosheleza wale Viumbe.
 
Assalaam Alaykum

Nataraji mpo salama na familia zenu

Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai

Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!

Nawatakia maisha marefu
Mbona mlo mzuri huo
Watu wa mikoani bana
Mkuu. Sio lazima asubuhi ule ma viazi na maji. Mchana ugali wa mtama na kisamvu afu usiku michembe
Huo sio ulaji.
 
Tatizo si watu wa Mikoani au wa Dar Bro
Tatizo lipo kwa mmoja mmoja katika ya sisi Wanaume
Ulaji bora wenye nguvu,tumeuacha,na kufakamia maulaji yenye ladha tu za mdomo

Tuwe makini sana

Mbona unanikejeli sababu nakunywa urojo?
 
Assalaam Alaykum

Nataraji mpo salama na familia zenu

Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai

Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!

Nawatakia maisha marefu
Mbona unanikejeli sababu nakunywa urojo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Assalaam Alaykum

Nataraji mpo salama na familia zenu

Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi amekula sambusa 2,yai na Chai

Kiukweli,hili ni tatizo si dogo,ulaji huu,kisha watu tunashinda Jimu na mavyuma,
sijui ni wapi tunapoelekea!!!

Nawatakia maisha marefu
Wewe unakula nini?
 
Back
Top Bottom