Shikamooni wakubwa ,
Waswahili wanasema kuuliza sio ujinga ila lengo ni kutaka kujua.
Sisi wengine tumezaliwa miaka ya 1990.hivuo mambo mengi hatuyafahamu vizuri .
Nimekuwa nikisikia kwa muda...
Sijui wewe wautafsirije UTAMBUZI lakini hakuna shaka kuwa ndio kitu kikubwa ambacho kinaifanya dunia kuwa ilivyo, na ni hicho hicho kitakachoifanya dunia kuwa mahala bora zaidi pa kuishi. Hapa...
Wale wakali waliokuwa wanakimbiza darasani,kuanzia primary, secondary, asaivi wengi wao wameishia pabaya kwa kukosa mwendelezo wa vision zao, mwingine unamkuta asaiv ni bodaboda au shoe shine...
Assalaam Alaykum
Nataraji mpo salama wandg
Bila kupoteza muda,wacha nifungue mkono wangu na kuruhusu kumwagika kwa wino.
Mwanaadam,anadhani kuwa,kuumwa na kansa au Ukimwi,Basi ndio kuangamia...
Nimekuwa namfuatilia sana Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika ziara zake kufuatilia utendaji wa watumishi na kuangalia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali na wadau mbalimbali kiukweli kuna...
Wanajamvi habari za mchana.Nimeona bora tujadili kwa kidogo kuhusu hilo.Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa muda kidogo kama miaka mitatu kuhusu uchumi wetu ambao unategemea wafanyabiashara wa...
Wakuu habari ,ninategemea kusafiri kuelekea Nairobi mwishoni mwa mwezi huu, je? Ni Bus gani zuri lenye Ac, viti vyenye nafasi ndani, yaaki kwaufupi luxury Bus, Linalotokea dsm kwenda Nairobi...
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na...
Kichwa cha habari chahusika, familia yetu tulizaliwa wakaka watatu na wadada wanne, mimi ni wa pili katika wakaka, bahati nzuri katika wakaka wawili tumefanikiwa kimaisha hata huyo watatu hayuko...
MDAHALO KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII KWA VIJANA TANZANIA
Katika mwendelezo wa kuibua mawazo na mijadala katika suala la matumizi ya Mitandao ya Kijamii na Mtandao wa Internet kwa ujumla...
Serikali imesema haina mpango wa kutoa fedha kwa ajili ya kupanua Magereza yaliyopo na badala yake italitumia jeshi la polisi kupunguza uhalifu na kutoa adhabu mbadala kwa watu wanaokutwa na...
Juzi Juzi nilitembelea kijijini kwetu maeneo ya kanda ya ziwa katika harakati za hapa na pale , lkn kwa kuwa nami nimuenyeji Wa maeneo hayo na watu wengi tunafamiana nao ,nikapata Bahati ya...
Watu wanakimbia huku na huko wasijue la kufanya
Inadaiwa kuwa umelipuka kutoka ghorofa ya 3 ya jengo hili huku chanzo chake kikiwa bado hakijajulikana
Inaelezwa kuwa huenda kuna baadhi ya Watu...
Leo tarehe 04/10/2018, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, anafanya ziara katika eneo la mradi wa umeme wa Rufiji (2100) ambapo atakagua utekelezaji wa...
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia, Mathias Lusinga, kwa kosa la kukutwa na sare za jeshi hilo Kitengo cha Usalama Barabarani na kujifanya trafiki, kisha kukamata madereva wa bodaboda...
Wakuu hii ni mada maalumu kwa wale wote ambao wamekutana na mkasa wa kuondokewa na mtu awe ndugu,jirani,rafiki au mtu yeyote kwa njia yeyote k.v.ajali,maradhi,n.k mara tu badaa ya kuonana au...
Wanasayansi wanaanza kukubaliana na kitu ambacho viongozi wa kiroho na wanafalsafa wamekuwa wakisema tangu enzi na enzi. Kwamba upo uwezekano kwamba mtu kama mtu siyo nafsi moja. Yaani kuna...
1/Kuchapiwa mke wako!
Hii kitu haina mjanja nawaambieni! Pale mkeo anapokusaliti hukuacha na maumivu makali sana pengine hutayasahau maisha yako hata mkiachana. Hii ni kutokana na jinsi mioyo...
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE).
Kulingana na uchunguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.