Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,389
- 11,887
wapendwa wana jukwaa poleni na
majukumu hebu wajuzi wa katiba
nchi yetu nipeni msaada kumekuwepo
na ubishani kuhusu mamlaka ya rais
kwa hawa watu
1 jaji mkuu
2 gavana benki kuu
3 CAG
Swali ni kwamba je akishawaapisha a
ana mamlaka ya kuwatumbua au kutengua uteuzi wao
nawasilisha
majukumu hebu wajuzi wa katiba
nchi yetu nipeni msaada kumekuwepo
na ubishani kuhusu mamlaka ya rais
kwa hawa watu
1 jaji mkuu
2 gavana benki kuu
3 CAG
Swali ni kwamba je akishawaapisha a
ana mamlaka ya kuwatumbua au kutengua uteuzi wao
nawasilisha