Serikali inakusudia kupeleka mswaada bungeni wa madereva wanaoendesha magari makubwa ya mizigo pamoja na abiria, wawe ni wenye umri wa kuanzia miaka 45
Hayo yameswemwa na waziri wa ujenzi na...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, waliokuwa wamepanga kwenye nyumba ya kulala wageni mtaa wa Califonia jirani na kituo cha mabasi cha Nyegezi kwa...
Nimejifanyia uchunguzi mimi kama kiumbe na naamini mawazo yanafanana japo ni ngumu kuyajua mawazo ya ndani kabisa ya mtu lakini ukweli ni kwamba mtu amezungukwa sana na kifo yaani. Kwa mfano mlevi...
Kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye kiwanda fulani amenidokeza kuwa mwezi ujao watapunguzwa wafanyakazi .
Akaenda deep akaniambia kuwa unajua kuwa Tanzania hakuna kiwanda hata kimoja...
Hello ,
Ijumaa nilienda kupokea kadi yangu ya NMB mpya baada ya kupoteza ya awali.
Sasa kilichonishangaza ni majibu ya muhudumu wa qubicle ya kupokelea kadi.
Nilimuuliza "hivi vistari vinne...
Habari zenu ndugu zangu, napenda kufikisha kero zangu kwa uongozi wa Equit bank tawi la mwenge kwa wafanyakazi mjirekebishe maana mmezidi uvivu na kutegeana, kazi kama wafanyaka ni wachache...
Habari wana JF, nimekuja morogoro kuna eneo nimenunua huku tungi,,nimeanza ujenzi wakuzungushia ukuta kwanza ili kulinda eneo, maji ya kujengea nilikuwa nachota kwenye bomba la jirani kwa...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jinsia na Watoto amesema kuwa watu hao wamekamatwa baada ya Jeshi la Polisi kufanya msako
Uchunguzi sakata hilo bado unaendelea na utakapokamilika Watuhumiwa hao...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema changamoto ya upatikanaji wa ajira hususani kwa vijana imeanza kupungua nchini baada ya viwanda vingi kuanza kufanya kazi.
Majaliwa aliyasema...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewafikisha zaidi ya watu 12 Mahakamani kwa makosa 404 likiwemo la kuisababishia Serikali hasara zaidi ya Tsh Mil 500 mali ya Mamlaka ya...
Share uzoefu wako, wapi uliwahi kushuhudia huduma mbaya kabisa kama mteja. Je uliwahi kujutia huduma kama mteja, hii inalenga kwebye sehemu za biadhara kama hotel, bar, duka, saluni,
Sehemu...
Katika hali ya kawaida, tunafahamu kuwa waumini wa dini ama Uislamu au ukristo na kama si uyahudi hawa watu huwa wana uchamungu wa dhati kabisa yaani kutoka moyoni mfano akitokea mtu anataka...
Mh. Rais JPM amemwapisha Skauti Mkuu Bi Mwantumu Mahiza Ikulu , Dsm!
Sikujua kama Skauti Mkuu ni cheo kikubwa kiivo.
Hongera Bi. Mwantumu Mahiza, kachape kazi.
Niliwahi kusoma mahali mtu akichangia mada fulani kuwa kila wiki kuna gulio la kununua watu toka mashamba ya fikra kinzani.... Kinzani kwa hoja si viroja...!!!
Kwanini mtu huyu alitumia gulio...
Baadhi ya maeneo ya nchi ya Cameroon yapata tatizo la kukatika kwa mawasiliano
> Matukio haya yametokea ikiwa taifa hilo linaelekea kwenye uchaguzi na kuzua hofu ya kuzimwa kwa Mtandao siku ya...
The ruling class must help all our young people to understand that ours is still a very poor country, that we cannot change this situation radically in a short time, and that only through the...
Namaingo ni Kampuni inayolea wajasiliama wanaojihusisha na kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Makao makuu ya Namaingo yako Ukonga Magereza Jijini Dar es Salaam, ina wanachama16,000 katika mikoa...
hadi leo jumla ya wabunge wa chadema waliojiuzulu ubunge na kurudi ccm kutoka kabila la maasai ni wabunge takribani wa3.Hili tu linatosha kabisa mimi kuhitimisha kuwa hatuna msimamo ktk maamuzi...
Nimepata taarifa kuwa ommy255 hapatikani toka Ijumaa usiku.
Mtoa taarifa anasema haonekani nyumbani, kwa marafiki wa karibu, kwa majirani, simu haipo hewani.
Kwamba kwa mara ya mwisho alipost...