Mhasibu Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu nchini pamoja na Maafisa 11 wa CRDB Wafikishwa Mahakani na TAKUKURU

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewafikisha zaidi ya watu 12 Mahakamani kwa makosa 404 likiwemo la kuisababishia Serikali hasara zaidi ya Tsh Mil 500 mali ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)

Waliofikishwa Mahakamani ni aliyekuwa Mhasibu Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Isaya Philip (39) Mkazi wa Kimara Dar es Salaam pamoja na Watumishi 11 wa Benki ya CRDB ambao ni

- Tehan Bino
- Johannes Joseph
- Adelphina Barongo
- Daniel Kahamba
- Benedicta Boniface
- Edina Luiza
- Ally Mohammed Hamad
- Msafiri Abdallah
- Antony Moshi
- Aisha Mussa
- Khadija Selemani
 
Kesi za kifisadi za nchi hii hazina tofauti na anayekula muwa kwenye utamu na kumalizia kwenye tebweta.
 
hiyo tasisis ya rushwa hiyo ni joka la kibisa, kazi ya ni kuwafikisha mahakaman matuhumiwa alafu wanaingia 'mitin' hao watuhumiwa ndani ya miezi3 wanashinda kesi na kurudishwa kazin kasha wanazitafuna hizo 500ml vizuri kabisaa
 
Back
Top Bottom