Suala la customer care nani katuloga?

Suala la customer care nani katuloga?

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Share uzoefu wako, wapi uliwahi kushuhudia huduma mbaya kabisa kama mteja. Je uliwahi kujutia huduma kama mteja, hii inalenga kwebye sehemu za biadhara kama hotel, bar, duka, saluni,
Sehemu kama bar na hotel utazani unapewa huduma bure,
 
Kuna sehemu ambazo nikitaja hapa nitaishia tu kutolewa mapovu
 
Mi nikiona mdada tu dukani basi hata kuingia kununua kitu nahairisha. Wengi wao wana dharau sana.
 
Back
Top Bottom