Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tunawasaidiaje hawa? Je hata kama eanawakimbia kwa kukosa nyenzo, je camera haziwezi kuwasaidia ili traffic aliyeko Mbele asaidie kama ilivyo kwenye magari?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu wapo mjini ila wanajifanya hawanijui ili hali nina Ushahdi wa Kimazingira, picha zao mbalimbali za utotoni (nilipewa na Binamu aliyejinyonga mwaka 2008 ila hadi leo nimesurvive nazo)...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Kipindi azama mnazuiliwa kuonyesha taarifa ya habari katika channel ya azam two nilitaka sana kujua sababu Maana local channel mliambiwa mziondoe kwa kuwa leseni zenu haziruhusu kuwaonyesha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani mwenye ujuzi huu kama unawezekana nataka niifute account yangu ya fb ila nataka nibaki na messenger pamoja na page YANGU. Inawezekana? how?
1 Reactions
3 Replies
938 Views
Internal Sikujua kuwa Neno Nafasi likikaka kwenye nafasi ya kwanza kureply ni kosa. Sijwazaga kula ban Jf ila ikishatokea unakubaliana tu na matokeo. Mshana Jr Kumbe ulikuwa unamaanisha kabsa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Leo nimekuja na utafiti wangu nilioufanya ndani ya mwaka mmoja. Najua wengi mtashangaa sana lakini nahitaji tujadiliane wote tuweze kupata majibu kuhusu hili suala. Watu wengi...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Most of us out of shear ignorance believe that tap or bottled water is safer than well water.The truth however is that tap and bottled water are very dangerous for your health.Please listen to...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Wale mnaotumia App ya Android ningependa kuwafahamisha kuwa leo tumerekebisha kasoro nyingi zilizokuwa zimeripotiwa kwetu na hivyo app itawaarifu kuwa kuna maboresho na inahitaji kuwa...
24 Reactions
36 Replies
3K Views
Hongera sana Nay a.k.a wa Mitego kwa kazi nzuri ukweli utakuweka huru
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Walimu wa tanzania wana motisha moja tu, nayo ni kwenda kusimamia mitihani ya taifa ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka. Mwalimu anaweza kukaa hata miaka saba hajapata nafasi hii maana yake hana...
19 Reactions
88 Replies
9K Views
Habari wakuu! Kuna hii tabia imeibuka siku hizi kwenye nyumba za ibada, hasa makanisani. Utakuta ibada imeanza au iko katikati mtu anajipiga picha au hupatana na mwenzake kwamba ampige picha...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Ulishawahi kujiuliza kwa nini mtoto akizaliwa tu lazima alie??, kwanini hili linatokea?? , kitu hiki ni fumbo kubwa kiimani... Watu wengi wamekuwa wakihusisha na ile adhabu ambayo Adam na Hawa...
0 Reactions
32 Replies
53K Views
Nimekuwa mpenzi wa kufatilia TAMASHA hili la FIESTA toka mwaka 2008,pale Kusaga alipo mleta 50 CENT,miaka ya nyuma hili tamasha lilikuwa la kuvutia Sana kuanzia maandalizi hadi juu ya stage hadi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa ambao hatukuwahi kufika Kenya hii gari hapo BusCar inafanya safari za Nairobi - kampala na hapo pembeni ni mizigo inayosubili kuingizwa kwenye basi, toa maoni yako umelionaje basi hilo. [emoji16]
0 Reactions
9 Replies
4K Views
POMBE ZA VIROBA KATIKA MFUMO MPYA ... TAFADHALI SERIKALI CHUKUENI HATUA!!! Nakumbuka ilikuwa ni mwaka jana, 2017 serikali ilipopiga marufuku usambazwaji na uuzwaji wa pombe maarufu kwa jina la...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi jijini Mwanza, Juma Sweda amemweka rumande Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Misasi, Deusedent Damas akituhumiwa kujihusisha na mapenzi shuleni. Akizungumza na waandishi wa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nimekaa najiuliza jirani zetu wanaoizunguka Tanzania, na wanao jaribu kuki download kiswahiIi. Hii misemo ya kama fyekelea mbali na mingine, kwetu sisi sio mipya ila inapozuka na kuanza kutumika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ivi mwanamke kuvaa kikuku(Shango au bangili inayovaliwa mguuni) katika mguu wake inakuwa na maana gani?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Natafuta sana mawasiliano ya hawa ndugu Asas Dairy (Iringa) hasa MARKETING Department. Kwa mwenye ukaribu na uongozi tuwasiliane PM ili tuweze shiriki pamoja deal. Au hata kama si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom