Arusha: Kijana mwingine wa CHADEMA mtandaoni, Ommy Guy kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,251
2,000
ommy.jpg

Nimepata taarifa kuwa ommy255 hapatikani toka Ijumaa usiku.

Mtoa taarifa anasema haonekani nyumbani, kwa marafiki wa karibu, kwa majirani, simu haipo hewani.

Kwamba kwa mara ya mwisho alipost mitandaoni taarifa ya kukabidhi rambirambi kwa Mhe Josephine S. Lemoyan tukio lililotendeka Njiro Kontena (Shule ya Msingi) nyumbani kwa marehemu Hussein Rasta.

Hebu tusaidiane kusambaza taarifa hii kwa jinsi tuwezavyo maana Mtu anapokosekana kuonekana maeneo ya mazoea tunajawa na wasiwasi.

Kati ya timu ya watu takribani 13 walofika kutoa rambirambi ommy255 aliondoka wa kwanza aliaga kwenda kufunga ofisi yake.

Kwa taarifa nilizopata Ommy baada ya kutoka kwenye msiba alirudi dukani na alifunga Duka vizuri tu ila wakati anarejea nyumbani alivamiwa na watu akapigwa sana na kunyanganywa kila kitu ila alifanikiwa kurudi kwake akawaeleza ndugu zake kilichomkuta Asbh kulivyokucha aliwaambia ndugu zake anasikia maumivu makali ivo anaenda HSP,basi ndio hajarudi tena mpka sasa na wamezunguka HSP zote Ommy hayupo
😭
😭
😭
😭
😭
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,029
2,000
Mh yameanza tena maana kupotea watu kulitulia kidogo
Kwa arusha ya sasa jambo kama hilo halishangazi!! Nafikiri kuna mkakati maalum unatekelezwa,maana sasa hivi arusha kumekuwa kama jehanum,watu wanakabwa,kuporwa kujeruhiwa mchana kweupe!! Polisi wamekuwa kama Kakakuona,hawaonekani wakifanya doria kama ilivyokuwa awali na hata wanapopewa taarifa ya uhalifu mahali huwa wanatoa sababu mbalimbali kukwepa kutimiza majukumu yao,arusha mjini si mahali salama kabisa ndugu,jana pekee nimeshuhudia visa vitatu vya uporaji katikati ya mji tena mchana wa jua kali,sasa kuhusu huyu aliyetoweka tuombe Mungu tu!
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
8,456
2,000
Hata usingeweka neno chadema bado taarifa yako ingekuwa na ujumbe mzito wa mtu aliyekwenda hospital hajarudi nyumbani labda hao vibaka waliamua kumrudia!
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,643
2,000
View attachment 889907
Nimepata taarifa kuwa ommy255 hapatikani toka Ijumaa usiku.

Mtoa taarifa anasema haonekani nyumbani, kwa marafiki wa karibu, kwa majirani, simu haipo hewani.

Kwamba kwa mara ya mwisho alipost mitandaoni taarifa ya kukabidhi rambirambi kwa Mhe Josephine S. Lemoyan tukio lililotendeka Njiro Kontena (Shule ya Msingi) nyumbani kwa marehemu Hussein Rasta.

Hebu tusaidiane kusambaza taarifa hii kwa jinsi tuwezavyo maana Mtu anapokosekana kuonekana maeneo ya mazoea tunajawa na wasiwasi.

Kati ya timu ya watu takribani 13 walofika kutoa rambirambi ommy255 aliondoka wa kwanza aliaga kwenda kufunga ofisi yake.

Kwa taarifa nilizopata Ommy baada ya kutoka kwenye msiba alirudi dukani na alifunga Duka vizuri tu ila wakati anarejea nyumbani alivamiwa na watu akapigwa sana na kunyanganywa kila kitu ila alifanikiwa kurudi kwake akawaeleza ndugu zake kilichomkuta Asbh kulivyokucha aliwaambia ndugu zake anasikia maumivu makali ivo anaenda HSP,basi ndio hajarudi tena mpka sasa na wamezunguka HSP zote Ommy hayupo
Sasa kulikuwa kuna haja gani ya kuunganisha hii taarifa na siasa au ndo political millage?
 
Jul 8, 2015
77
125
View attachment 889907
Nimepata taarifa kuwa ommy255 hapatikani toka Ijumaa usiku.

Mtoa taarifa anasema haonekani nyumbani, kwa marafiki wa karibu, kwa majirani, simu haipo hewani.

Kwamba kwa mara ya mwisho alipost mitandaoni taarifa ya kukabidhi rambirambi kwa Mhe Josephine S. Lemoyan tukio lililotendeka Njiro Kontena (Shule ya Msingi) nyumbani kwa marehemu Hussein Rasta.

Hebu tusaidiane kusambaza taarifa hii kwa jinsi tuwezavyo maana Mtu anapokosekana kuonekana maeneo ya mazoea tunajawa na wasiwasi.

Kati ya timu ya watu takribani 13 walofika kutoa rambirambi ommy255 aliondoka wa kwanza aliaga kwenda kufunga ofisi yake.

Kwa taarifa nilizopata Ommy baada ya kutoka kwenye msiba alirudi dukani na alifunga Duka vizuri tu ila wakati anarejea nyumbani alivamiwa na watu akapigwa sana na kunyanganywa kila kitu ila alifanikiwa kurudi kwake akawaeleza ndugu zake kilichomkuta Asbh kulivyokucha aliwaambia ndugu zake anasikia maumivu makali ivo anaenda HSP,basi ndio hajarudi tena mpka sasa na wamezunguka HSP zote Ommy hayupo
Mmemcheki mortuary? Au umekimbilia jf pasipo kufanya utafiti!!
 
Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,041

Nawashauri mkaripoti kwanza kituo cha polisi ili mpewe ushirikiano kumtafuta.

Na imani atapatikana...Mungu amlinde kule aliko.
ASANTENI
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,771
2,000
Yani mtu anavamiwa na kuporwa halafu anaacha kwenda kutoa taarifa Polisi.
Ajabu sana kwa kweli.
Vijana wa Chadema mnapotezwa sana na Mbowe.
Vyombo vya dola hasa Mhakama na Jeshi la Polisi bado wanafanya kazi kwa misingi ya sheria kabisa alimradi taarifa ziwepo za uhakika.
Hakuna haja ya kupuuza vyombo vya dola wakati kwenye masuala yasiyohusu siasa wanafanya kazi zao vizuri.
Hata kama Chadema wakiingia madarakani bado watakua na vyombo hivyo hivyo kwa sababu watu ni wale wale tu na jamii ni ile ile tu.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,422
2,000
Hivi kwanini ndugu zake wasiende Congo au KAKONKO wakafanye tego la mkungu wa ndizi? Kwamba kila ndizi itakapodondoka inaondoka na mtu.
 
Malilambwiga

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
485
500
Mh yameanza tena maana kupotea watu kulitulia kidogo
Wewe uliyeandika post na wewe uliyesoma, mnaona kuna mtu kupotea hapo. Yaani mtu apigwe, badala ya kwenda hospitali, yeye akarudi nyumbani, akaonana na ndugu zake, akalala usingizi hadi asubuhi, kisha ndipo aende hispitali na asirudi nyumbani. Tuache propaganda, vinginevyo mimi ningekuwa chombo cha dola kama polisi, ningeanza na wewe uliyepost hii habari utueleze vizuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom