Ni nani mmiliki halali wa serikali?

Ni nani mmiliki halali wa serikali?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,543
Katika hali ya kawaida, tunafahamu kuwa waumini wa dini ama Uislamu au ukristo na kama si uyahudi hawa watu huwa wana uchamungu wa dhati kabisa yaani kutoka moyoni mfano akitokea mtu anataka kuharibu alama ya dini yao husika basi watu huja juu na hata pia kuchukia kutoka moyoni na mara nyingi huumia sana moyoni na hata kupigana. Hali tofauti katika serikali yoyote duniani hakuna mfiaserikali yaani ifike kipindi mtu aumie kwa dhati kabisa kutoka moyoni akiona uharibifu ktk serikali lakini hii ni kinyume ni sawa baba kumwibia pesa ya shule mwanawe, utakuta mtu ndio mkuu wa kitengo lakini nae anaiba. Hapa sasa inamaana kuwa pesa za serikali yoyote ile duniani hazina mwenyewe yaani ukiwa na power tu wewe unaweza kuzila.

Swali kwa wana dini

je ukiiba pesa za serikali Mwenyezi Mungu ataenda kukuhukumu?
 
Hatuku lelewa elimu kujua uchungu na serikali na thamani ya wananchi vyovyote vile nashukuru Mungu kwa tunaojitambua kwa tulipo toka na tunakwokwenda
 
Hatuku lelewa elimu kujua uchungu na serikali na thamani ya wananchi vyovyote vile nashukuru Mungu kwa tunaojitambua kwa tulipo toka na tunakwokwenda
Ulichoandika umekisoma kabla hujapost?


Mjifunze kuproof read kwanza ndio mpost
 
Back
Top Bottom