Majibu ya mfanyakazi wa NMB kuhusu kadi ya ATM

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,390
26,838
Hello ,

Ijumaa nilienda kupokea kadi yangu ya NMB mpya baada ya kupoteza ya awali.

Sasa kilichonishangaza ni majibu ya muhudumu wa qubicle ya kupokelea kadi.

Nilimuuliza "hivi vistari vinne vilivyojokunya kwenye hii kadi vina maana gani? Kwa kuwa mastercard yangu iliyopotea haikua navyo"
(nilimuuliza tu nipate ufafanuzi zaidi japo nilijua ni mambo za NFC au kifupi wireless/tap tap payments/transactions)

Akajibu: "hiyo inamaanisha INTERNET unaweza kadi yako kutumia kwenye ATM yoyote au POS yoyote"

Nikaona isiwe shida, nikaaga na kusepa.

Hivi kweli hawa jamaa wapo shallow kiasi hiki?
Mana nilitegemea maelezo ya kutosha ikijumuisha risk za kutumia kadi yenye hiyo system na jinsi ya kuziepuka.

-------
Kama kuna mwenye ujuzi zaidi kuhusu hii kitu atupe hapa mana nimesoma soma mitandaoni naona baadhi ya article zinadai ni rahis sana kuibiwa ukiwa na aina hiyo ya kadi.

Jumapili njema

IMG_20181005_180059.jpeg
A%2B%20Gallery_1.jpeg
 
Hizo card ni rahisi kuibiwa na professional hacker's ambao bongo hatunao wengi, pale unapofanya transaction yoyote kwa kutumia hizo wireless card wanaweza kupata kupata serial number yako na card namba yako wakazitumia kutengenezea accounts zinazohusisha malipo kwanza, wakalipia vitu online kwa pesa yako na kwa kuwa hatuna utaratibu wa kuomba Bank statement basi ndio unaliwa. nipo kwenye training na hackers wa kijerumani ya kufanya huo umafia hata kwa kutumia iris yako mnaopenda kupigapiga selfie
 
Asante brother. Tunawezaje kujilinda?

Binafsi huwa situmii huduma yoyote zaidi ya Atm
 
Jiandae kesho ufike central
 
Asante brother. Tunawezaje kujilinda?

Binafsi huwa situmii huduma yoyote zaidi ya Atm
Kujilinda kwa nchi yetu ni rahisi sana kwa sababu hakuna anaeingilia faragha ya mwingine japo kuna vijana hatari sana wakitanzania wapo kwenye forum ya kijeruman nikiwem mimi tunapata ujuzi ila ina highest risk.
.
Ushauri wangu uwe na tabia ya kuomba bank statement mara kwa mara
 
Asante kwa ufafanuzi. Je kutotumia kwa miamala ya malipo kunaweza niweka salama?
 
Hizo card ni rahisi kuibiwa na professional hacker's ambao bongo hatunao wengi, pale unapofanya transaction yoyote kwa kutumia hizo wireless card wanaweza kupata kupata serial number yako na card namba yako wakazitumia kutengenezea accounts zinazohusisha malipo kwanza, wakalipia vitu online kwa pesa yako na kwa kuwa hatuna utaratibu wa kuomba Bank statement basi ndio unaliwa. nipo kwenye training na hackers wa kijerumani ya kufanya huo umafia hata kwa kutumia iris yako mnaopenda kupigapiga selfie
Mkuu ukimalza uje ufungue college yako ya kufanya huo umafia,mambo ni mazto sana
 
Aisee hako ndio ka akaunti ka mshahara na akiba zote za familia yangu. Kakiwa hacked nitakufa kwa presha aisee

Nilifungua akaunti ya Crdb special for online payments .(kunguru muoga)
Bank's zote wana IT department hata usijali japo kuna advancement algorithm zinaweza kutumika kuhack ATM card number
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom