Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi naomba kuwasilisha kuwa uratibu wa urejeshaji mikopo hauko sawa na hivyo wahitimu wanastaajabishwa na urejeshwaji huu mkopo kwa kuwa HESLB haiweki na inawezekana haina kumbukumbu sahihi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Manyara baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mirungi kilo tano sawa na mabunda 14 yakisafirishwa kutoka mkoani Arusha kwenda...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ukitaka kuishi kwa afya njema fuata ushauri wa daktari wako katika kila kitu anacho kuzuia usitumie kwa uhifadhi wa afya yako na ukitaka kuishi kwa furaha fuata ushauri wa mchungaji wako maana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenye picha hii anaitwa Ibrahim Besta Mkanga.Ni mkazi wa Mzinga Ilala.Vitambulisho vyake vifuatavyo vimeokotwa na kuletwa ifisi ya S/Mtaa Kibangu. 1 Kadi yake ya CCM 2Kadi ya UVCCM 3 Kitambulisho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Profesa Joseph Nagu ambaye ni mume wa Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara, Dk Mary Nagu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Akidhibitisha kifo cha mume wake, Dk Nagu...
8 Reactions
190 Replies
51K Views
Kunavitu vinashangaza sana Tanzania wiki iliyopita nilipata fursa ya kutembelea maeneo ya wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya huko tukuyu nilifika Katumba nikaingia ndani huko kuna vitu vinaendelea...
6 Reactions
45 Replies
55K Views
Kisheria, Mahakama kuu inaweza kumtangaza mtu aliyepotea kwa muda mrefu bila kujulikana alipo na jitihada za kumpata kushindikana, kuwa amekufa. Hii inaitwa dhana ya kifo au DEATH IN ABSENTIA...
1 Reactions
1 Replies
894 Views
Dume zima badala ya kusema jamani lasema jomoni,au jingine linashadadia kudamshi et ooh nimedamshi eeh Viuno sasa dume lakata viuno balaa Series sasa Yan mpaka episode ya 2000 yupo tu Jingine...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada katika hili...maana nimekuwa nikisikia wataalam wa lishe na afya wanaihubiri kweli hii kanini ila huwa nashindwa kudhibitishiwa ukweli wake. Hivi ile kanuni ya kunywa maji...
0 Reactions
4 Replies
660 Views
Habari za asubuhi watu wa JF, Leo nimesikia Serikali imetoa ndege kwa lengo la kuipeleka Taifa Stars ktk visiwa vya Cape Verde, kwa jambo hilo kwanza naipongeza Serikali yetu saaaaana. Lakini...
4 Reactions
97 Replies
12K Views
Sasa hapo ni pale unatamani uwafufue hao watuhumiwa usikie wakisema "tulifungua mlango tukiwa tumeweka mikono juu, lakini walipokuta begi la madini chumbani walitupiga risasi na baada ya hapo...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo nimekutana na kesi inayomhusu mchina mmoja kamtukana mtanzania kwa kumuita nyani, kesi ipo police ila sijui nini kilijiri kwenye hiyo kesi. Ninachotaka kujadili hapa ni kwamba imekuwa ni...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Bado haijafahamika kama lengo ni kuilinda NHIF au la , lakini hali ndio kama unavyoiona .
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari za majukumu watanzania wenzangu? Niko mkoani mara kwa sasa na ni mtanzania mzalendo, kwa mwezi wa 12 natarajia kwenda mkoani singida kwa ajili ya kufanya utalii kwenye maeneo yenye vovutio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Assalaam Alaykum Ndg wana jukwaa Sipendi kupoteza muda,kichwa cha habari kinajieleza,napenda kuingia ndani kdg katika uchambuzi na nasaha Akili,ni tunu katika moja ya tunu tulizopewa na...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Habar zenu wana Jamvi Kama kichwa cha uzi hapo juu,Nimepotelewa na lain yangu ya uwakala na kuna pesa ndan yake nashindwa nifanyeje ili niirudishe. Kwa wenye uelewa tafadhar nipeni mwanga...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WAKULIMA wa Mbaazi na Choroko hapa nchini wanatarajia kuondokana na adha ya mazao yao kukosa soko baada ya wawekezaji kadhaa kujitokeza kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuchakata mazao hayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeshangaa kama Mkuu wa Polisi mkoa wa Dodoma anaweza kufanya hivi kwa mtuhumiwa tena mbele ya vyombo vya habari,nini huwa kinaendelea kokokoroni? Halafu ni hawahawa huwa wanatuhamisisha wananchi...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, linalishikilia lori la mafuta mali ya Kampuni ya Oil Com, baada ya kukutwa limebeba vipodozi na pombe vilivyopigwa marufuku kuingia nchini. Kamanda wa Polisi Mkoa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom