Nadhani kuna kosa ambalo wengi tumekuwa tunafanya tunaposoma Biblia, hasa vitabu vya mwanzo vya Musa kuchukulia umri wa watu mbalimbali na kuulinganisha kama ni sawa na umri wa binadamu wa sasa...
Muhadhiri mkongwe Afrika mashariki, Alhaj Sheikh Said Omar Rico amefariki dunia majira ya saa kumi jioni, Oktoba 8, 2018 nyumbani kwake Kiwalani jijini Dar es salaam.
Alhaj Sheikh Rico wakati wa...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amewataka viongozi kuanzia ngazi ya mkoa hadi vijiji nchini kuhakikisha wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawaondoki katika maeneo...
Kwa mara ya kwanza kutakuwa na usafiri wa moja kwa moja ktk Australia mpaka London, mji mkuu wa Uingereza, ambazo ni kama kilometa 14 500 hivi, hii haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Dunia...
Kama inavyofahamika kumekuwa na hujuma katika shamba hili la mifugo. Wakati mkikokotoa upotevu wa fedha katika shamba hilo zingatieni yafuatayo:-
1. Ng'ombe waliokuwepo 2005 walikuwa kama...
Mh Suleman Jaffo Waziri mwenye dhamana Ofisi ya Rais TAMISEMI
Naomba nikupe ujumbe huuu sisi tuliowatumishi wapya tunaolipenda taifa letuu na kuwa wazalendo na taifa letuu
Mmetupangia nafasii za...
Kipi ni bora kati ya akili kuwa mbele kwa sekunde dhidi ya kuongea au kuongea kwanza ndipo akili ifuate nyuma?
Lakini waafrika asilimia kubwa wanaonekana ni wale watu wakuongea kwanza kisha...
Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la...
Chama cha Watetea Haki za Wanawake huko nchini Australia kinapambana usiku na mchana kuhakikisha kwamba ‘ Sera ‘ ya Wanawake ambao huwa wanapatwa na ‘ maumivu ‘ makubwa au ‘ uchungu ‘ mkubwa...
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Prof.Makame Mbarawa amelazimika kupiga kambi katika kijiji cha Levolosi Kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru kwa masaa mawili na nusu akisubiri kisima kinachochimbwa...
Hatimaye Bosi Mkuu wa TAKUKURU ya nchini Kenya amevunja ‘ ukimya ‘ na kusema kwamba kama kuna ‘ Kada ‘ ambazo ndiyo Vyanzo na Vichocheo vikubwa na matendo ya Rushwa / Ufisadi nchini Kenya basi ni...
Habarini...
Binafsi tangu nazaliwa, sijawahi kubahatika kusikia mke wa president flani, (iwe Tz au huko ughaibuni), au president mwenyewe (kama president ni mwanamke) ni mjamzito.
Wenzangu kuna...
Habari za majukumu watanzania wenzangu?
Niko mkoani mara kwa sasa na ni mtanzania mzalendo, kwa mwezi wa 12 natarajia kwenda mkoani singida kwa ajili ya kufanya utalii kwenye maeneo yenye vovutio...
Wakuu habari za mida hii? Niende moja kwa moja kwenye mada
Baada ya kuweka vyeti ndani tena uvunguni kabisa (namaanisha degree) hili nimelifanya ni kwa sababu ya kukosa ajira na kuzunguka sana...
Wadau enzi zile niko kwa chuo fulani hivi huko bongo land , nilikuwa nafurahi sana kuwasoma tabia wanafunzi wa chuo kipindi cha boom likiwa linazingua (boom kuchelewa kutolewa) na mara baada ya...
Naam kwa uwezo wa Mungu tena nakutanishwa nanyi katika mengi yahusuyo Nchi yetu
Kwa Kiteto pamoja na mambo mengine, Mkurugenzi mtendaji wa halm ya Wilaya ya Kiteo Tamim Kambona ametoa onyo kwa...
Yan we umepoteza simu na lain yake ghafla unakimbilia kwa mawakala ukarenew namba tena unakua na hofu kama flan atakutafta na akikukosa ndo basi tena, Unarenew unaanza kutafta namba chache za...
Unasema Mungu kajibu maombi ya nabii kununua gari au ndege huku ukishangilia kwa vigeregere .
Ndugu zangu, kabla hujashangilia jambo kaa chini ujifikilie kwanza, kwamba mbona kabla ya kuwa nabii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.