mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Dume zima badala ya kusema jamani lasema jomoni,au jingine linashadadia kudamshi et ooh nimedamshi eeh
Viuno sasa dume lakata viuno balaa
Series sasa Yan mpaka episode ya 2000 yupo tu
Jingine ikifika saa 4 usiku linaangalia muhtesem yuzzly aambiwa naye Ni timu hurem
Badilikeni wote wenye twabia hizi
Viuno sasa dume lakata viuno balaa
Series sasa Yan mpaka episode ya 2000 yupo tu
Jingine ikifika saa 4 usiku linaangalia muhtesem yuzzly aambiwa naye Ni timu hurem
Badilikeni wote wenye twabia hizi