Safari ya kwenda Cape Verde na dreamliner imebuma.

Safari ya kwenda Cape Verde na dreamliner imebuma.

Tuwe wazalendo na chetu!! Kwann hatupendi kupenda na kuufurahia utanzania wetu hadi tunaponda kilicho chetu. Kuukubali ugeni na kuutupa utanzania niujinga uliopitiliza!
 
Ungekuwa unawashauri na kundi lako ningekuona wamaana sana
Tuwe wazalendo na chetu!! Kwann hatupendi kupenda na kuufurahia utanzania wetu hadi tunaponda kilicho chetu. Kuukubali ugeni na kuutupa utanzania niujinga uliopitiliza!
 
Sababu kubwa ya kutoenda ndege yetu ni udogo wa uwanja wa ndege wa capvede na sio tatzo la hitilafu ya ndege!
 
Mleta uzi hana ufahamu na anachotuletea.
Fanya uchunguzi wa jambo ndio ulete uzi acha ushabiki wa kisiasa!
 
Mleta uzi hana ufahamu na anachotuletea.
Fanya uchunguzi wa jambo ndio ulete uzi acha ushabiki wa kisiasa!
Cape Verde ndio imejekwa leo mkuu, kabla ya kusema wanaenda na dreamliner hawakuwa wanajua kuwa uwanja mdogo

Tunaojua tunakucheki
 
Nilipanga nikodi jet ya ikulu, ngoja kwanza nicheck mipango ya kesho ya kuonana na wahusika
 
Naomba niulize kipindi kile cha maximo tulienda Cape Verde na ndege ya serikali sikumbuki ilikua na ukubwa gani anaekumbuka anijuze, ila sidhani kama ilikua ndege ndogo
 
Back
Top Bottom