Ukitaka kuishi kwa afya njema fuata ushauri wa daktari wako katika kila kitu anacho kuzuia usitumie kwa uhifadhi wa afya yako na ukitaka kuishi kwa furaha fuata ushauri wa mchungaji wako maana atakuambia kula kila kinachowekwa mbele yako bila kuuliza uliza maana imeandikwa hivyo katika Biblia