Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Assalaam Alaykum
Ndg wana jukwaa
Sipendi kupoteza muda,kichwa cha habari kinajieleza,napenda kuingia ndani kdg katika uchambuzi na nasaha
Akili,ni tunu katika moja ya tunu tulizopewa na Mola,kwenye maendeleo na mafanikio,basi hutangulizwa katika kupewa sifa kede kede,lkn kuna maafa ambayo,yanaikumba akili kila kukicha,baadhi ni kama ifuatayo
1)Kukosa Fikra salama
Fikra iliyosalama,huwa ni pambo na taa ya akili,akili ambayo,haiambatani na fikra sahihi na salama,ni akili iliyopata moja ya majanga ya mafuriko
2)Matamanio ya nafsi
Matamanio ya nafsi,ni ugonjwa mbaya sana,unaoukumba akili,akili inayoambatana na matamanio ya nafsi au mhemko,ni akili inayokumbana na kimbunga cha ulema
Hakika akili sahihi,ni ile iliyokuwa ndani ya mipaka sahihi ya kisheria
Akili iliyopewa uhuru wa moja kwa moja,madhara yake,ni makubwa sana kwa jamii ndogo au jamii kubwa
Tujilazimishe sana kuzitumia akili zetu katika mambo yenye manufaa na sisi katika maisha haya na maisha ya kesho
Nawatakia usiku mwema
Shukran