MBEYA: Jeshi la Polisi linalishikilia lori la Kampuni ya Oil Com, baada ya kukutwa limebeba vipodozi na pombe vilivyopigwa marufuku

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, linalishikilia lori la mafuta mali ya Kampuni ya Oil Com, baada ya kukutwa limebeba vipodozi na pombe vilivyopigwa marufuku kuingia nchini.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, amesema gari hilo lenye namba za usajili T 233 CXL limekamatwa eneo la Mbarali jijini hapa, jana saa nane mchana, likitokea nchini Zambia.

Kamanda Matei amesema katoni 15 za vipodozi na katoni mbili za pombe kali zimekutwa ndani ya gari hilo.

Amesema dereva wa gari hilo anatafutwa na polisi kwani baada ya gari hilo kukamatwa alifanikiwa kukimbia.
 
sukuma ndanii!!!
 
Hongera kwa jeshi la polisi.
 
waanze kutajana sasa.......

mtutupie mapicha tuyaone.................
 
Umeshuhudia tukio au unatumia uzoefu tu?
Mkuu najua hapa tutaishia kulumbana mi ni dereva wa malori kwa hiyo ninacho kwambia nadhani hatuna sababu ya kubishana sana

Ila polisi wamefanya kazi yao japo haijatimia kulingana na majukumu aliyo paswa kujafanya

Naheshimu kazi waliyo Fanya ila ukweli nitasema kuwa hiyo hali ilitokea
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, linalishikilia lori la mafuta mali ya Kampuni ya Oil Com, baada ya kukutwa limebeba vipodozi na pombe vilivyopigwa marufuku kuingia nchini.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, amesema gari hilo lenye namba za usajili T 233 CXL limekamatwa eneo la Mbarali jijini hapa, jana saa nane mchana, likitokea nchini Zambia.

Kamanda Matei amesema katoni 15 za vipodozi na katoni mbili za pombe kali zimekutwa ndani ya gari hilo.

Amesema dereva wa gari hilo anatafutwa na polisi kwani baada ya gari hilo kukamatwa alifanikiwa kukimbia.
Astaghafillulah !
 
Back
Top Bottom