Mods naomba msifute au kuunganisha hii
Mo Dewj ni mfanyabiashara mkubwa sana hapa Tanzania, tukio la kupotezwa kwake leo kama hatapatikana akiwa hai basi ndo utakuwa mwendelezo wa...
Tanzania | Published On: Tue, Jan 3rd, 2012
Tanzania's minister for lands, housing and human settlement Anna Tibaijuka
The late Laurian Cardinal Rugambwa, the late Gervas Ishengoma and Mr...
Habarini wadau.
Kuna taarifa kuwa muswada wa mabadiliko ya sheria na taratibu za kuzuia watu walio chini ya miaka 45 kuzuiliwa kuendesha magari makubwa ya mizigo na ya abiria.
Naamini huyu...
NSSF-Masasi ni jipu.
Katika wilaya ya Masasi huduma inayotolewa na ofisi hiyo ni mbovu sana kwa kutofuata taratibu na sheria na madhumuni ya mfuko huo kwa upande wa huduma za afya na pia sheria...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Kaimu Afisa Elimu (Msingi) wa wilaya ya Muleba, mkoani Kagera Bw. Bukuru Malembo awe amepeleka walimu wawili katika shule ya msingi iliyoko kwenye...
Hapa maofisa walikwenda kwenye apartment zake baada ya kupata taarifa muhimu.
VIDEO:
-----Update-----
Pagan Amum anasema,
Baada ya video kutrend iliyoonyesha Mfanyabiashara Davis Mosha...
Leo uongozi wa Udarts ulikuwa unatatua mgomo wa wadereva ambao waligoma kutokana na kutokulipwa mishahara yao.
Alipotakiwa kujibu suala la ukatishaji tiketi kupitia mashine, mkuu huyo alisema...
Habari wana jamvi
Aise duniani kuna mambo ndo maana hadi wakaimba kuna watu na viatu, asa hoja yangu ya msingi naomba niwaulize wenzagu hii changamoto ya kukatishwa tamaa ama kusemwa semwa na...
JESHI la Polisi wilayani Ukerewe limepiga marufuku mtu yeyote kujihusisha na kusafirisha abiria kutoka kisiwa cha Ukara na kijiji cha Bugorora.
Limesema shughuli hiyo itafanywa na vivuko mbadala...
Habarini humu ndani.
Nauliza kama kuna bima za makampuni ya nje? Mfano mtu anataka kuwekea shamba bima ya moto. Naona haya makampuni hapa nchini mengi ikifika kipindi umepata tatizo ulilowekea...
Napenda kujua alipo dada Mwakitwange aliyekuwa anaendesha kipindi cha Tanzania tunayoitaka,
toka awamu hii ya 5 iingie sijamsikia kabisa mwenye kujua hizo taarifa atusaidie, na imani tunamuitaji...
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?
Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea...
Polisi yakamata pesa nyingi zikisafirishwa kwa njia isiyo halali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Nyerere jijini Dar
====
Kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo tarehe 9.10.2018...
Leo mwenye shahada au stashahada hana tofauti na ambaye hajasoma.Mtu aliyemaliza chuo hana cha ziada mbele ya mtu aliyemaliza kidato cha nne au darasa la saba kabisa labda kiingereza cha kubambia...
Ndani ya nyumba pesa ni sabuni ya roho. Kila kitu huhitaji pesa. Mara chakula, mara malazi, mara mavazi (hata ya anasa) pesa ni kitu 'wanted through out' kwa uhai wa familia yako na kuepusha...
Mkitembelea tweeter mtakutana na ujumbe kama huo hapo juu ,mwanasiasa mmoja anaandika kuwa ipo siku gazeti hilo litaandika chama fulani ( ..) Kinahujumu mvua isinyeshe.[emoji23] [emoji23]...
Mtanzania George Jonas anayefanya kazi katika Kampuni la Uundaji Ndege la Boeing, amependekezwa kuwania tuzo ya Mhandisi Bora Mweusi (BEYA) nchini humo. Jonas alikuwa miongoni mwa Wataalamu...
Habari wanajamii.
Mimi ni kijana ambaye ninandoto ya kufanya makubwa sana katika maisha yangu lakini hadi sasa ninakaribia miaka 30 halafu sijafanya chochote tofauti nakuwa mwaka wa mwisho wa...
Jamani wadau huu ushauri wa bure ukiona kama ukiwa na mpenzi wako kwa siku unatumia asilimia 75% kumuwaza yeye basi hilo ni tatizo kubwa sana yani sana.
Utagunduaje kama unatumia 75%
Kwanza...
Habarin za mchana waungwana, poleni na majukumu ya kujenga taifa letu pendwa la Tanzania.
Niende kwenye mada husiku, nimekua mtumiaji wa mwendokasi mara nyingi ninapoenda kwenye mizunguko yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.