Daimler
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 556
- 973
Mtanzania George Jonas anayefanya kazi katika Kampuni la Uundaji Ndege la Boeing, amependekezwa kuwania tuzo ya Mhandisi Bora Mweusi (BEYA) nchini humo. Jonas alikuwa miongoni mwa Wataalamu walioisindikiza Ndege ya Dreamliner kuja nchini kutokea Jimbo la Washington, hivi karibuni.