Watu waovu mara nyingi hufanya mambo yao usiku maana watu wanakuwa wamelala hivyo wanapata na nafasi ya kutekeleza vitendo vya kihalifu kama ujambazi,kuwatelekeza watu waliowafanyia mambo...
Driver wa Gari namba T51..DMH nicheki inbox....nina zawadi yako!
Ku-prove wewe ni muhusika itabidi umalizie namba iliyoachwa wazi hapo na useme ni gari aina gani..
Hint: Ulikua unaendesha...
Mmekuwa mkisikika mara kwa mara kwa kutoa unabii, utabiri na hata kutahadharisha jabo fulani baya/zuri.
Na wenzetu wale wa kalete kuku mwekundi nao mmekuwa mkipiga ramri mbali mbali kwa manufaa...
Devin Gaines alizaliwa Julai 16, mwaka 1984 alifariki tarehe 10 julai, 2007.
Alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Connecticut ambaye alivunja rekodi ya kutunukiwa degree 5 ( Bachelor degree) kwa...
Wakuu pamoja na kuondoa taarifa zao zote za habari za asubuhi na jioni, na kutokuwepo kwa local chanels lakini kwa mujibu wa wanaotumia Azam wanasema bei bado imesimama palepale.
Sasa kwa sisi...
Je dunia inaendeshwa na roho 'mtakatifu'? Neno mtakatifu lisikuchanganye ukadhani ni ile ya kiimani. Kila kitu kina pande mbili, upande unaoonekana na upande usioonekana. Upande unaoonekana...
Wananchi jamii ya wafugaji wamewashambulia na kuwaua askari wawili wa Shirika la hifadhi za taifa,TANAPA, katika hifadhi ya taifa ya Ruaha wilayani Mbarali na kisha kupora silaha moja iliyokuwa na...
Serikali yajitetea kesi ya mamlaka ya wakuu wa mikoa, wilaya
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), amewasilisha utetezi dhidi ya kesi ya kupinga mamlaka ya wakuu wa mikoa na wa wilaya kuamuru watu...
Huyu jamaa baada ya kustaafu si alienda kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM na akapigwa chini kwenye kura za maoni? Leo nimemwona kwenye gazeti linalotolewa na TANESCO la Bullet in the umeme jamaa...
Leo katika pita pita, nikiwa na wife; Tumekutana na kichaa omba omba akawa akiomba msaada hela ya kula; wife akafungua pochi akachomoa buku akampatia;
Yule Omba omba badala ya kusema asante...
HAKUNA kuchelewesha pale mtu anapotupia ubashiri wake na SportPesa anaingia kwenye Droo ya bajaj Re na unapopigiwa simu ya ushindi kuwa umeshinda bajaj utapelekewa mpaka ulipo bila kutoa hata...
Zamani nikiwa na king'amuzi cha Azam,niliweza kuangalia vipindi vya habari azam two!Vipindi hivyo ni Morning trumpet,adhuhuri,Alasiri lounge na usiku taarifa ya habari!
Lakini sasa nalipia...
Wanajamvi habar za wakat huu? natumai wengi wenu hali zenu ni njema na mnaendelea kulijenga taifa hili kwa moyo wa uzalendo na wenye kutukuka.
twende moja kwa moja kwenye somo tajwa hapo juu...
Mkazi wa kijiji cha Kyamwame wilayani Rorya Bi. Veronica Moga,amelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara baada ya kupigwa kwa kutumia mpini wa jembe, panga, kigoda na kumchapa viboko na...
Nimeangalia hii video nimesikitika sana kuona watanzania wanaocheza vilabu mbalimbali nje ya Tanzania na wenye mafanikio makubwa tu.......juzi juzi tu kuna mcheza huko majuu anaitwa Amani Mbedule...
Ni kweli hapa Bongo tunashida ya usafiri kwa baadhi ya maeneo kama Mbagala,Mbezi,Buza,Gongolamboto etc lakini kuna nchi zingine ni shida sana jamani sasa hawa wanaopanda hili City Train huko majuu...
Ni kwamba ulinzi wa malaika unaishia kwenye mambo ya kiroho lakini ulinzi wa damu na nyama mabaunsa wanahusika. Kama watumishi wanakuwa na mabogani mpk kwenye madhabahu Yao makanisani huku...
Wanabodi,
Kesho natarajia kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja huko mikoa ya kusini.
Sasa kwa taarifa nilizo nazo hawa jamaa wa kusini huwa kitoweo chao kikubwa ni nyama ya mbwa na kwa kuwa huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.