Naweza sema katika miaka ya ubora ya binadamu basi ni ujana wake kwa sababu anakua na nguvu kimwili na kiakili.
Ndio maana wacheza mpira wengi wanakua hot sana kuanzia miaka 15 hadi 35 atakae zidi...
Ni kipindi kifupi umekuwa Meneja wa Dawasa - Kawe lakini umekuwa msikivu mzuri wa changamoto za eneo lako la kazi. Pia umeonyesha ushirikiano wa kuigwa. Wakazi wa Mwenge ni mashuhuda. Ubarikiwe...
Bei ya petrol katika soko la dunia imepanda. Kwa mujibu wa gazeti la The East African bei hiyo ilikaribia dola mia moja (100) kwa pipa. Hii inamaanisha kuna uwezekano wa bei ya petroli kupanda...
Umoja wa wenye Daladala umemuomba mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda awashirikishe katika mkutano wake atakaoufanya na wadau wa Udart. Mwenyekiti wa umoja huo amesema wameandaa utaratibu...
Leo nimekumbuka yule jamaa aliyetembea kwa miguu kutoka Mbeya mpaka Dar.
Clouds media thru clouds fm walihost Ile issue live, baada ya jamaa kuwasili Dar, Leo nimetafakari safari ya Mby-Dar kwa...
Watu wengi myopic hua hawaoni vitu kwa mtazamo mkubwa(bigger picture).
Ukiangalia matukio yanayotokea zama hizi ndio utaelewa watu kama Gwajima walishtuka mapema wakaandaa security details yao...
Kuna watu wanalipwa mshahara mzuri tu alafu muda wa kazi ni mchache sana lakini walivyokuwa wapumbavu ati wanataka waonekane na wao wamejiajiri tu hata kama hamna wanalopata.
Ukijiona unapata...
Wanabodi kituo cha TBC1 leo kinaonesha moja kwa moja tukio la uhamaji wa nyumbu na wanyama wengine wengine wakirejea Serengeti
Wanadai tukio hili linauhusiano na mwanadamu wa kale kwani wanadamu...
Hebu fikiria siku ambayo halaiki ya watu imekodoa macho kuangalia matendo yako yote yaliyo ya wazi na yale ya siri.
Hebu piga picha yule rafiki yako uliyemchukulia mke wake anakuona unazini na...
Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linamsaka Hamim Mussa na wenzake wawili wakituhumiwa kuwanywesha wananchi maji yanayodaiwa kuwa ya Baraka katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Mpanda Mjini na...
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Memory Njemani ameamua kuolewa na mwanaye wa kiume ili kufidia gharama za kumsomesha, akisema hawezi kumruhusu mwanamke mwengine aje atumie naye baada ya...
Muda huu wa mchana, TBC1 iko live ikionyesha jinsi wanyama Nyumbu wanavyohama toka Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara kuja Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Huu ni ubadhirifu mkubwa wa kodi zetu.
Aibu...
Nã Malisa GJ
Kijana Erick Raphael Msyaliha, anayeishi Sinza (Mugabe) usiku wa tar.13/03/2017 alifuatwa nyumbani kwake na watu wanaodhaniwa kuwa Polisi ambao walimchukua wakihitaji maelezo kutoka...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha ameitaka Mamlaka ya Elimu Tanzania, (TEA) kuanza kutumia utaratibu wa Force Akaunti katika utekelezaji wa miradi ya Elimu...
One day a farmer's donkey fell down into a well.
The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out
what to do. Finally, he decided the animal was old, and the well needed to...
Kwa sasa tunaishi maisha ya kizungu, ya kuwa na vyakula na vinywaji kwenye majokofu. Huu ni ustaarabu ulioletwa na wazungu na umeenea maeneo yote duniani. Kwa Nchi masikini kama Tanzania, majokofu...
TANZANIA imetajwa katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (AU) kuwa miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyo kikwazo cha mtangamano barani Afrika.
Ripoti hiyo ya hivi karibuni imebaini kuwa Waafrika...
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.