NSSF-wilaya ya Masasi ni jipu

NSSF-wilaya ya Masasi ni jipu

Polonium

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
233
Reaction score
138
NSSF-Masasi ni jipu.
Katika wilaya ya Masasi huduma inayotolewa na ofisi hiyo ni mbovu sana kwa kutofuata taratibu na sheria na madhumuni ya mfuko huo kwa upande wa huduma za afya na pia sheria ya unemployment benefi hawaielewi kabisa kwani husumbua kwa kudanganya wateja pia kubambikia wateja taarifa za uwongo kwa nia ya kukomoana, nitataja majina yao kama hawajirekebishi.
 
Back
Top Bottom