anobreezy
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 67
Jamani wadau huu ushauri wa bure ukiona kama ukiwa na mpenzi wako kwa siku unatumia asilimia 75% kumuwaza yeye basi hilo ni tatizo kubwa sana yani sana.
Utagunduaje kama unatumia 75%
Kwanza hayapiti masaa mawili bila kumtaja kila mda kichwani hakatiki basi wewe mapenzi yamekutawala kuliko vitu vya msingi ambavyo unatakiwa uhustle kuvipata.
"respect our hustle more than our bae unless our bae is our hustle".