Mm huwa napeleka gari yangu aina ya CRV New Model car wash ya mtaani kijana anaiosha ! Na wengineo.
Muda wote huwa safiiii mle ndani. Nani huiosha mle ndani na wakati gani ?
Mkazi mmoja aliyejulikana kwa jina la Said Lwagaba(72) mkazi wa kijiji Kagunga Kata ya Kasekese Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi amekutwa ameuawawa na watu wasiojulikana.
Habari Zenu,
Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..
Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto...
Waungwana ... nakuja na hoja hii ..
Hivi ni kwa nini watanzania tumezoea kukubali kila kitu kinachoamuliwa na walioko juu?
Nitoe mfano ukilipia umeme wa luku wa elfu kumi unapewa mahesabu ya...
Wazima nilivunjika Mkono Wa kulia mifupa yote mwezi Wa 8 trh 17 nikaenda hospital kupigwa x ray na kufungwa pop nikapewa siku 45 ndo nirudi lakin hadi siku ya 9 Mkono bado unauma sana nikashauriwa...
Siyo siri kuwa barabara ziingiazo mjini Mbeya zina viwango vya chini sana.
Barabara hizi zilisanifiwa na kujengwa miaka ya 1970's.
Hivyo barabara zote ziko chini ya viwango kwa magari ya miaka...
Naitwa Fatna kwa sasa nipo Tanga, mama yangu anaitwa Mariam Mgaya. Kwa Maelezo niliyopewa na mama kuhusu baba yangu haya "Baba yangu alikuwa anajulikana kwa majina KUTARASA MBARALI au SAIDI...
Kwaninin Tanzania tuko hivi?
Nina mifano ya nchi jirani ambazo democrasia inafuatwa lakini kwa Tz hapana
1. Malawi nchi jirani na ndogo tu lkn democrasia iko juu
2. Zambia mbali na matatizo...
DOUBLE STEAMCELL NA CRYSTAL CELL
Products hiyo ni double steamcell na crystalcell Zipo na products zingine ILA hizi ndo products mama
PSYTOSCIENCE ni kampuni ambayo imejikikita kutengeneza...
#FAHAMU Mnamo mwaka 2014 Mahakama ya South Carolina nchini Marekani ilitengua hukumu ya iliyotolewa na mahakama hiyo ya kumnyonga hadi kufa mtoto George Stinney Jr, ikiwa miaka 70 imeshapita tangu...
Mara nyingi tumekuwa tukilazimisha na kukomaa na mambo tusiyoyaweza ama tusiyoyajua. Kila mtu ana uwezo wa kufanya jambo fulani ( hata kama hulipendi ).
Unaweza ukawa unapenda kitu ambacho...
Kwema humu?
Naiomba sana serikali kwa kushirikiana na wadau mbali mbali weweke utaratibu wa kufundisha wananchi na hata viongozi wa taasisi mbali mbali, majumbani n.k juu ya matumizi sahihi ya...
Kama ilivyo ada week inaenda ukingoni ila si vibaya tukakumbushana mambo ya msingi sana kwa sisi ambao tunatumia yale mambo yetu ya moja moto, moja baridi. Kwa wale wazoefu au ndio kwanza mmeingia...
Watanzania wametakiwa kushikamana kwa kufanya Kazi kwa bidii kwa lengo la kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ili Taifa liweze...
Kumekuwa na vilio vingi kuhusiana na utendaji kazi wa polisi mkoa wa Kagera. Hii ikiwa ni kana kwamba sheria zao huku ni tofauti na Tanzania nyingine.
Huku makwetu hata mwendo wa gari ukisemekana...
Habar zenu wakuu wa jf ,
Kama nikivyoeleza leo nitakua mwanza siku nzima kabisa tena free kabisa nitakua mitaa nazurura tu kuangalia mji wa mwanza
Si mwenyej kabisa mji huu ila kutokana na...
Nasikia watumishi wa umma wilayani Chato wamekatazwa kutumia simu wakiwa kazini.
Utaruhusiwa kutumia simu tu baada ya saa 9:30 alasiri muda wa kutoka ofisini.
Marufuku hiyo nasikia imetolewa na...
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi huu ni zaidi ya idadi iliyotarajiwa na baraza hilo na...
Hallo everybody,
I urgently need documentations for M-Pesa and Airtel Money integration APIs. I have searched for them through google but couldn't find the two.
The only API documentation I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.