Je, Mwanzi ni mti au nyasi?

Je, Mwanzi ni mti au nyasi?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,824
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?

Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea kwenye bustani yangu ya nyumbani.

Na je nawezaje kupata mbegu bora za mianzi ya njano ile minene kabisa...sio ile ya ulanzi ya nyalu land

1277215_0122bd8f834bh77c_large.jpg
!
 
Mwanzi ni mti (kitindi) ndio maana sehemu vilipopandwa ukiuziwa ardhi name vyenyewe vina bei yake.

Mimi natafuta mbegu ya Mianzi ya Kichina (Chinese bamboo)
 
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?

Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea kwenye bustani yangu ya nyumbani.

Na je nawezaje kupata mbegu bora za mianzi ya njano ile minene kabisa...sio ile ya ulanzi ya nyalu land

View attachment 892787!
Mwanzi ni kama popo tu
 
kwani kuna tofauti ya nyasi ma mti yote si mimiea?
 
Nenda SHAMBA LA mianzi LA serikali Ruvu utapata MBEGU.au nenda Ubungo river side pembeni mwa huo MTO utaipata tani yako.unapanda pingili Kama muwa
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi?

Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea kwenye bustani yangu ya nyumbani.

Na je nawezaje kupata mbegu bora za mianzi ya njano ile minene kabisa...sio ile ya ulanzi ya nyalu land

View attachment 892787!
 
Popo si ndege wala panya! Siku moja utudadavulie nasikia majini yanapenda kuishi kwenye mianzi,nataka niioteshe home nisije nikayafuga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipande karibu na home licha ya hayo madude pia ni makazi mazuri ya nyoka wa kijani
 
Ngoja watalaam waje japo naona wababaishaji nao wameshaanza kutoa majibu
 
Mwanzi ni mti (kitindi) ndio maana sehemu vilipopandwa ukiuziwa ardhi name vyenyewe vina bei yake.

Mimi natafuta mbegu ya Mianzi ya Kichina (Chinese bamboo)
Dah ile ya kichina ni mikubwa sana hadi inatumika katika ujenzi kama Poles
 
Kule nyumbani bushi, huwa wanatumia kulimia nyanya..
 
Back
Top Bottom