Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshuhudia wasicha warembo wamependeza wakiuza karanga njia kuu kuanzia Bahi mpaka Shelui.mpaka usiku wanakuwepo.je wenyeji wa huko dada zenu wanauza karanga au wanauza.......
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Majambazi wamekodi Gari maeneo ya ubungo liwapeleke morogoro,njiani waanza kumchoma visu ili waibe gari,bahati kwa nyuma likatokea Gari kutoa msaada majambazi wakakimbia ila dereva amefarik (Pcha...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Katika viumbe ambao wapo hai kiumbe mwenye uwezo wa kwenda kasi zaidi ni Ndege ambaye anajulikana kwa jina la Falcon(Kumbuka huyu ni tofauti na tai kuna aina nyingi kidogo za mwewe) Ana uwezo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Jana nilikuwa na mgonjwa wa kike aliyekuwa na maumivu ya chini ya kitovu. Tukaenda hospitali ya ST MONICA MANZESE DARAJANI. Tukachukua kadi na kuingia kwa daktari kama kawaida akatuandikia kipima...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Tumekaa kituo cha kimara in dk 50 sasa sioni kinachoendelea,watu ni wengi anaingia mmoja mmoja kwa taratibu sana huku machine zikishindwa kusoma ticket,hapa wafanyakazi kila mmoja yupo busy na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani nampenda sana Magufuli lakini naona kama katuingiza pabaya,hivi baada ya kupewa report mnaonaje angepiga kimyakimya sheria zibadilishwe kwanza?? Mimi naona amekurupuka na hakuna rangi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndo hivyo tena tena,sio kila aliyewekwa na Mungu kwenye mamlaka ni kwa nia njema,wakati mwingine Mungu anakuwa anatoa adhabu Kuzorota kwa hali za kiuchumi,usalama na upendo na mshikamano wa taifa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadu , sasa ni mwaka 2 tangu kushindwa na kumuacha mzazi mwenzangu (mama wa mtoto wangu ) kutokana mienendo yake ambayo kijamii na kidini na kinadamu hakuna binadamu angeweza vumilia (japo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Licha watu wengi kuwaona ni watu wa show off ila kiukweli mnasidia sana. Nimepata taharifa rasmi kabisa Harmonize ameisaidia timu ya Ndanda FC mil3.5 ili kulipa deni la malazi na chakula...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Wale masister du wote waliokuwa wanaringa kama wanakunya keki siku hizi tunaenda nao sawa kula supu ya makongoro kwa mama ntilie, Vocha ya jero ilikuwa haina dhamani ila siku hizi ukimtumia...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
lols, vyuma vinazidi kubana, I just think watu kabla Magufuli hajatupeleka kwenye nchi ya ahadi tutakua tumenyooka kweli kweli..lol sasa basi katika msoto watu watanunua vitu vile vitu...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imezipiga marufuku taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo, kuingia mikataba ya ujenzi wa majengo na Wakala wa Majengo nchini (TBA)...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WADAIWA SUGU WA KODI YA ARDHI WASAKWA NYUMBA HADI NYUMBA Baadhi ya watumishi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kampuni ya Udalali ya Msolopa Investment na baadhi ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
POST IMEFUTWA KWA USALAMA WANGU
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zako ndugu yangu wa JF kwanza naomba kutanguliza shukrani zangu kwa uongozi wa JamiiForum kwa kutuwezesha Watanzania kujadili, kuchangia hapa pia nikiwa kama Member mpya naomba tena...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) Mohammed Dewji amekanusha taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa amefanya...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Kume kuwa na katabia kuwa wanaume wa Dar ni wazembe, watoto wa mama, mara wengi kama hatujui majukumu ya kiume. Ila nataka kuwadhibitishia wanaume wa Dar ndo tunaongoza kwa kuchakarika na Maisha...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Ni watu fair sana, wanaichukulia Dunia kama vile mtoto mdogo, unajua mtoto mdogo alivyo? Anamchekea kila mtu, anatabirika akilia aidha ana njaa, usingizi, ugonjwa n.k. Mtoto mdogo Dunia yake ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
safi
1 Reactions
6 Replies
1K Views
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…