Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Wale masister du wote waliokuwa wanaringa kama wanakunya keki siku hizi tunaenda nao sawa kula supu ya makongoro kwa mama ntilie,
Vocha ya jero ilikuwa haina dhamani ila siku hizi ukimtumia anasema Asante love anajiunga sms tupu wiki nzima kwa line ya tigo,
Bia ya savana imebaki kwa watoto wa kishua mademu wa huku kwetu tunagongea nao changaa,balimi na eagle kwa kwenda mbele,
Ule utapeli wa kumpeleka demu bar anakula vyako alafu anakimbia siku hizi hamna ukimpeleka tu unakula papuchi ata kwenye pagare,
Siku hizi hatuumizi tena kichwa cha kuonga laki ukiwa na uwezo wa kumpa ata buku 2 anakuona kama mungu wake atakuganda mpaka ujute,
Cha kuchekesha zaidi ni kwamba yule demu niliyomuona mkali enzi zile na kumtongoza akanikatalia tena kwa nyodo nanukuu "utanipa nini wewe kapuku mi dhamani yangu gari wewe na baiskery yako utaniweka wapi?"
Niliumia kinyama ila siku hizi kufubaa hana ata mia ya vipodozi alafu ndio anajigonga gonga kwangu apate ata nafasi ya kupiga selfie na mnyamwezi alipokuja nilimfyeeekelea mbali .
Wapenda picha sina story na nyinyi mizigo kama hii siku hizi inapatikana kwa buku la vocha tu.