Jamani nampenda sana Magufuli lakini naona kama katuingiza pabaya,hivi baada ya kupewa report mnaonaje angepiga kimyakimya sheria zibadilishwe kwanza?? Mimi naona amekurupuka na hakuna rangi...
Ndo hivyo tena tena,sio kila aliyewekwa na Mungu kwenye mamlaka ni kwa nia njema,wakati mwingine Mungu anakuwa anatoa adhabu
Kuzorota kwa hali za kiuchumi,usalama na upendo na mshikamano wa taifa...
Habari wadu , sasa ni mwaka 2 tangu kushindwa na kumuacha mzazi mwenzangu (mama wa mtoto wangu ) kutokana mienendo yake ambayo kijamii na kidini na kinadamu hakuna binadamu angeweza vumilia (japo...
Licha watu wengi kuwaona ni watu wa show off ila kiukweli mnasidia sana.
Nimepata taharifa rasmi kabisa Harmonize ameisaidia timu ya Ndanda FC mil3.5 ili kulipa deni la malazi na chakula...
Wale masister du wote waliokuwa wanaringa kama wanakunya keki siku hizi tunaenda nao sawa kula supu ya makongoro kwa mama ntilie,
Vocha ya jero ilikuwa haina dhamani ila siku hizi ukimtumia...
lols,
vyuma vinazidi kubana,
I just think watu kabla Magufuli hajatupeleka kwenye nchi ya ahadi tutakua tumenyooka kweli kweli..lol
sasa basi katika msoto watu watanunua vitu vile vitu...
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imezipiga marufuku taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo, kuingia mikataba ya ujenzi wa majengo na Wakala wa Majengo nchini (TBA)...
WADAIWA SUGU WA KODI YA ARDHI WASAKWA NYUMBA HADI NYUMBA
Baadhi ya watumishi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kampuni ya Udalali ya Msolopa Investment na baadhi ya...
Habari zako ndugu yangu wa JF kwanza naomba kutanguliza shukrani zangu kwa uongozi wa JamiiForum kwa kutuwezesha Watanzania kujadili, kuchangia hapa pia nikiwa kama Member mpya naomba tena...
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) Mohammed Dewji amekanusha taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa amefanya...
Kume kuwa na katabia kuwa wanaume wa Dar ni wazembe, watoto wa mama, mara wengi kama hatujui majukumu ya kiume. Ila nataka kuwadhibitishia wanaume wa Dar ndo tunaongoza kwa kuchakarika na Maisha...
Ni watu fair sana, wanaichukulia Dunia kama vile mtoto mdogo, unajua mtoto mdogo alivyo?
Anamchekea kila mtu, anatabirika akilia aidha ana njaa, usingizi, ugonjwa n.k.
Mtoto mdogo Dunia yake ni...
1/Kama anavyojisemea kwenye maandiko yake MUNGU ni mwema, mwenye huruma, upendo na anaesamehe wale wanaotubu madhambi yao
2/MUNGU ni katili kwa waovu hili halina ubishi hata maandiko nitawaletea...
NI WAZO TU
Wewe ni Msomi mwenye Digrii,na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini ulizunguka 2YEARS bila kazi mpaka ulipodaka Kibarua hiki cha Benki ukiwa kama LOAN OFFICER,na wakakupa...
Katika Operesheni ya ukamataji wa pombe haramu aina ya Gongo
Operesheni iliofanyika Tarafa ya Mashati baada ya kupata Taarifa za Siri kuwa BI LEOKADIA (MAMA TINGISHA)
Amekuwa akiuza bangi na...
Mb 200 kwa shs 1000 alafu mnaniambia kuwa niofa maalum hiyo wakati wenzenu airtel wana toa 1gb kwa shs 1000 tena unatumia siku 3, acheni utani nawaambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.