Bahi utashuka kwa urembo wa karanga kama unapita na basi.?
Miaka ile barabara ya tope tulikwama pale na lori kaudo.
Nikamuona kabisa anti yangu akipigwa mshedede na dereva na tingo wake.
Anti alikua kinanda kweli basi safari kidogo jamaa wakaweka kambi hapo bahi mi wakaniachia gari nichezeechezee.
Mzee chezea chezea nikaondosha hand break mara kanyaga klach sijui wapi sikumbuki mlori huo ukaanza kuondoka ebanaeee.
Jamaa siku hiyo walikimbia Marathon mpaka basi.
Washukuru mungu sikulibwaga liligota mahali likasimama.
Dah Bahi[emoji5]