Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako tu Kutiriririka na Kuserereka ili unielimishe zaidi Mimi GENTAMYCINE na hiyo Kauli ' Kuntu ' kabisa ya Tanzania ni nchi ya Amani na Upendo...
Jana TBC wakati twaugulia ya 'Mo' na wengi waliotekwa au kupotea; katika kipindi cha 'tunatekeleza' alikuwapo Kangi Lugora waziri wa mambo ya ndani.
Katika ya kushangaza aliyoyasema waziri huyu...
A Peruvian man has divorced his wife after discovering intimate photos of her with another man on Google Maps.
The man had been researching the best way to reach a popular bridge in Lima, the...
Nakumbuka alisema Darasani kwamba siku zote mkiwa katika Watu wengi halafu ukataka Kumjua ' Mhalifu ' kwa haraka sana basi ukiona tu Mtu mmoja kati yenu ndiyo anapenda sana ' Kujitokeza ' huku na...
Leo October 11, 2018 Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Frank Samweli kwa tuhuma za kusafirishwa Dawa za Kulevya aina ya Mirungi Kilo 207 ambapo mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya...
African Export Import Bank (Afreximbank) ya Misri, imeonyesha nia ya kuipatia Tanzania mkopo wa zaidi ya Shilingi trilioni moja (dola za Marekani zaidi ya milioni 500) kwa ajili ya kutekeleza...
wanabodi,
Leo nimemtembelea mshikaji wangu mmoja huku mikoa ya kusini.Kiukweli huyu jamaa tunafahamiana sana toka utotoni na nilikuwa nikimkubali sana jinsi alivyokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri...
TAKWIMU zilizotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zinaonesha kuwa hadi mwaka 2017, watu 472 wameshahukumiwa adhabu ya kifo, kati yao wanaume ni 452 na wanawake 20.
Akizungumza...
wale wanawake......ambao walikuwa....wana mageto...yao maeneo ya buguruni...sokoni ambao walikuwa wakitoa huduma kwa jamii kwa njia ya kujiuza vichochoroni ......maeneo hayo wametimuliwa na...
Nashukuru kwa huduma zenu pia kwa heshima na taadhima nipende kukushukuru sana ndugu(ofisa wa NIDA) niliyekutana nae Leo pale ofisi ni, NASHUKURU SANA MKUU KWA KUWA MUELEWA NA MUWAZI, MUNGU...
Mchungaji wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) la Sirari, tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Nestory Papaa amefariki dunia wakati akimwombea marehemu katika mji wa...
Wadau amani iwe kwenu.
Kwa wanaume ambao tunafanya shughuli za hapa na pale za kujipatia kipato, tumezoea kuwa na hela muda wote mfukoni. Hata hivyo, inapotokea siku umekosa kabisa fedha mfukoni...
Niende kwenye mada
Tbs ilisema kila gari litakaloingia nchini ni lazima likaguliwe Na lipewe certificate (Roadworth inspection) inayofanywa na makampuni waliyoingia nayo mkataba ya huko nje.
Sasa...
Moshi. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemburuza kortini ofisa manunuzi wa Wakala wa Barabara (Tarura) Manispaa ya Moshi, Samwel Mseselo kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh7.7...
Majuzi nilileta uzi humu kwamba kuna pesa nimezipata kwenye ATM nilipokwenda kufanya muamala usiku. Pesa hizo ziliachwa na mtu ambaye naamini alikua amezidiwa na kilevi
Nilipata ushauri mwingi wa...
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote.
Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana.
Walitekwa kina...
Watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira ya kutatanisha mpaka sasa wamekuwa wengi,wengine wakipatikana na wengine mpaka leo hawajulikani walipo.
Swali langu ni je,katika wale waliowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.