Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Ni watu fair sana, wanaichukulia Dunia kama vile mtoto mdogo, unajua mtoto mdogo alivyo?
Anamchekea kila mtu, anatabirika akilia aidha ana njaa, usingizi, ugonjwa n.k.
Mtoto mdogo Dunia yake ni kamilifu, hajui Ubaguzi hata kama ukimbagua, hajui chuki hata ukimchukia atakupenda na kukuchekea tu.
Hapa naamanisha mtoto wa miaka 0-2, sasa kwa nini Watanzania ni watu wazuri na sana, ukilinganisha na watu wengine kama Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu au hata Wasomali?
I mean, Watanzania ni wazuri na wema mpaka wanakera, ukienda kwake atalaza mtoto wake chini akuachie chumba, atampikia mgeni chakula bora ambacho watoto wake wa kuzaa hawapikii, atajibadilisha kwa ajili ya kumfurahisha mgeni ambaye anakuja na kuondoka kwa gharama ya watoto wake wa kuzaa.
Mtanzania ni mwema sana, hivi ni kwa nini? Dunia ya Mtanzania ni ,,fair“ sana hili limekuwa likinishangaza sana tangia niko mdogo kuhusu jamii yangu, kuna siku niliangalia program nafikiri ilikuwa ni BBC au CNN kuhusu TZ na maisha yake, matatizo kama umaskini na magonjwa mwisho wa program yule Mzungu mtangazaji akasema ,, ... but there‘s no friendlier place like Tanzania, people are happy laughing and smiling inspite of their problems ...“
Nilishindwa kuelewa alichomaanisha, ...